Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Kifo!! Hakina kasoro Wala upendeleo...... Vilivyobakia vyoote ni ubatili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo kinasuasua mpaka kimekuruhusu uwepo JF.

Kingekuwa hakina kasoro usingeweza hata kuzaliwa wewe.

Hapo ulipo unakufa polepole kwa sababu kifo kina kasoro, hakiwezi kukuua mara moja kinavizia uumwe, uzeeke, upate ajali etc.
 
Wewe hujui hata wewe ni KITU??

Wewe ni kitu chenye uhai pia unajitambua lakini jiwe ni kitu kisichojitambua japo pia kinao uhai wa aina yake, hiyo ndio tofauti.
We kwel mada ujaielewa ivy unavyoambiwa kiumbe hai unakijua kwel we au unasema tu kitu ambacho ukujui acha kukufulu we mungu anaonekan na kuhusu jwe unausibitisho gani kama jiwe kiumbe hai

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukilazimishwa si utatapika.
Jua tu kuwa utaandika si kwa kulazimishwa bali kwa kulazimika.
Hayo mambo ya kuweeka tarehe na saa ni kama ule utoto wa kusema tupinge.
Aah, unalazimisha nitaandika, ukiulizwa lini huwezi hata kuweka tarehe.
 
Hewa ina kasoro,kuna hewa safi na hewa chafu,Air pollution.
Hewa safi na hewa chafu ndiyo sababu ya respiration mechanism ya wewe kuishi, maana ili moyo ufanye kazi inatakiwa usafishe hewa uliyovuta ndani ya mwili ukiipeleka katika damu na kutoa hewa chafu ili uingize tena hewa nyingine kuratibiwa upya kama awali.
 
Una uhakika gani kuwa kinamvizia mmoja mmoja, ikiwa aliyekiratibu ndivyo alivyoona kinampasa kutenda hivyo we ni nani hadi ukikatalie hakina ukamilifu?
Unaweza kuthibitisha kuna aliyekiratibu au unarudia mafundisho ya dini yako tu?

If you can't do your job in the shortest time imaginable, you are not 100% efficient.
 
Ilitakiwa tuwe kama nyoka tunajivua gamba tunakuwa juvenile.
Kwanini tusiwe kama Eagle tupae juu zaidi tutandikwe na jua kisha tushukie miamba/milima tujibamize tuwe wabishi badala ya kutufananisha na huyo adui yetu aliyelaaniwa kuwa tutamponda kwa mawe naye atatung'ata visigino?

Fikiri mara mbili.......[emoji137]
 
Hili swali halina uhusiano na kasoro ya kifo.

Yani ni kama nakwambia hili bomu lina ufanisi wa kuua dunia nzima kwa sekunde moja.

Halafu wewe unaniuliza, likiua watu wote, nani atamzika mwenzake?

Hata watu wakishindwa kuzikana, hilo ni jambo tofauti ambalo halikanushi kwamba bomu limeua watu wote kwa pamoja.
Swali limekushika pabaya sana...[emoji1]

Sasa tukifa wote nani atashuhudia kuwa kifo kimeua wote ilihali sote tu Marehemu?

Uwe unakubali kushindwa wakati mwingine maana si lazima ujue kila kitu bali ujifunze kila kitu uwe na maarifa zaidi [emoji2]
 
Back
Top Bottom