Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Energy

It is neither created or destroyed, it can only be transformed from one form to another.
 
Kaburi, hata ujengewe la marumaru mwengine afukiwe na manispaa kaburi ni kaburi ushakua past tense!
 
Jua linateketea kama kuni inayochoma moto, katika mchakato wa nuclear fusion.

Na katika miaka bilionin 5 ijayo litaanza kufa, na kabla ya miaka bilionin10 ijayo litazimika nankufa na kutoka nje ya Milky Way Galaxy.

Pia lina sunspots, lina mawaa, halipo perfect, lina kasoro kibao sehemu nyingine zina joto zaidi ya nyingine.
Hiyo miaka billioni 5 nani atayefikia katika kuishi?

Yani akili hizi bhana, aliyekuandikia hiyo miaka billioni 5 kuwa jua litakuwa limeisha nguvu zake ukute yeye mwenyewe hata miaka 150 hakufikisha, ila cha ajabu unamuamini yeye kuliko hata aliyekuumba na kushikilia roho yako hadi sasa hivi.

Nimeamini kila Binadamu ana Kichaa chake tokana na kutokulamilika kwa uwezo wa ufanisi wa ubongo kikazi kwa 100% na ndipo hapa sasa Kiranga kichaa chako kinajidhihirisha kabisa [emoji28]
 
Mkuu,

Kwani watu wote wanaokubali Yesu alikuwepo wanakubali alikuwa Mungu?

Mbona Wayahudi wenyewe ambao wamemuona Yesu tangu anazaliwa hawakubali kwamba ni Mungu?

Mbona Waislamu hawakubali kwamba Yesu ni Mungu?

Mbona Mrumi Tacitus kamuandika Yesu katika historia, lakini hakuamini kwamba Yesu ni Mungu?

Ushawahi kumsoma Tacitus?

Hoja yako haina mantiki, umefanya kama vile kukubali Yesu alikuwepo ni lazima ukubali Yesu ni Mungu.


Logical non sequitur.
Sasa hata wewe ni nani nikukubalie kuwa Yesu si Mungu sababu tu umechagua upande wa wasioamini kuwa Yesu si Mungu pasipo ushahidi wowote?

Fungua uzi mwingine kuhusu Yesu si Mungu nije nikupe za uso kiushahidi kuwa Yesu ni Mungu.
 
Unaweza kuthibitisha kuna aliyekiratibu au unarudia mafundisho ya dini yako tu?

If you can't do your job in the shortest time imaginable, you are not 100% efficient.
Eleza kimetokana na nini kama hakuna aliyekiratibu la sivyo hoja yako ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu.
 
Huyo ni troll anaugulia kuwa kwenye ignore list.

Kujibizana nami ni privilege, sio right.

Naweza kuiondoa muda wowote kwa mtu yeyote.

Mtu akishusha viwango vya mazungumzo na kunikosea heshima ya kawaida tu, namuweka ignore list bila kuona tabu.

Hususan nikiona troll analeta ugomvi na tunaenda kutukanana na kuchafua mazungumzo tu.

Augulie tu maumivu ya ku abuse privilege ya kujibizana nami.
Wewe debe tupu ndio nijali kuni ignore? nilijaribu tu kuelezea jinsi usivyo jiamini na usivyo weza kuhandle pressure,wewe ni mlaini kama pamba tu,umekariri maswali yale yale kwenye kila thd,sijui contradiction,mtu kama wewe hata mje mmejaa Mabehewa 6 hamna madhara yeyote kwangu coz wewe ni hamnazo ila umekariri vimaneno kama Kasuku.
 
Mungu kukaa na siri pekee yake ndiyo kasoro yake.
Anaogopa nini kuziweka wazi?
Mkuu wewe mwenyewe umetoka kusema huko juu kuwa kasoro ni perception tu ya watu na si uhalisia

Sasa wewe mwenyewe mbona ni kama vile umeconclude kuwa kitu fulani ni sahihi na kitu fulani ni kasoro

Ni kwa mantiki gani ionekane kwamba kitu kukiweka siri ndio kasoro na kukiweka wazi ndio sahihi
 
Kimenishindwa sasa hivi ndiyo maana nakujibu, kingeniweza sasa hivi nisingekujibu.

Au unafikiri nakujibu wakati nimekufa?
Una uhakika gani hujafa ilihali hakuna aliyewahi kufa akajitambua kuwa amekufa na kuwaeleza Watu kuwa ameshakufa?
 
Kwa hivyo tukifa wote tukakosa mtu wa kutushuhudia kuwa wote tumekufa maana yake ni nini sasa?

Maana yake hatujafa kwa sababu hakuna mtu wa kutushuhudia tumekufa?

Acha ujinga wewe.
Thibitisha kuwa ni ujinga na umetumia kipimo gani kujiona wewe huna ujinga isipokuwa mimi tu?

Acha ulofa wewe [emoji847]
 
Hebu fikiria mtu anaambiwa kua siku yake ya kufa ni lini,unafikiri maisha yangekuaje?
Yangekuwa poa
1. Dhambi zingepungua kuepuka moto wa milele

2. Kesi za mirathi na migogoro ya mali kwa familia isingekuwepo.

3. Vilio na huzuni visingekuwepo kwa wapendwa wao maana wangejiandaa tu
 
Unpredictability is not perfection.

Logical non sequitur.
Kama madini yote hayo niliyotema hapo umeona upredictability pekee basi hakika una tatizo kwenye ubongo, wahi haraka sana kwa Daktari ukapate ushauri na tiba ili upone.
 
Back
Top Bottom