Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Yesu ana kasoro.

Aliwachia nguruwe wasio na kosa waangukie ziwani na kufa.

Angekuwa anaishi leo watu wa PETA (People for tje Ethical Treatment of Animals) wangemshitaki kwa ukatili wake dhidi ya wanyama.
Aliamuru mti usio na matunda ukauke
Alisema usimpatie mbwa chakula cha watoto
Hahahah
YESU HAKUJA KUHUKUMU ndio maana hata mapepo hakuyauwa Bali aliyaamuru yatoke
 
Like sio pungufu ni somo darasa!
Usikate tamaa au kuivagaa dhambi kisa hujala siku mmoja au madaa 10
Hakuna kitu kipo asilimia mia hapa duniani na hapo kuna siri kubwa.....

Ndio mana Yesu alikula baada ya njaa kumshika kwahiyo kama angekamilika asinge hisi njaa hata kidogo au asinge hisi yale maumivu ya misumari kwenye ile movie

Mana hata MOVIE yenyewe inamapungufu 😂😂😂
 
Kikiondoa watu wote kwa pamoja nani atamsitiri mwenzake?
Hili swali halina uhusiano na kasoro ya kifo.

Yani ni kama nakwambia hili bomu lina ufanisi wa kuua dunia nzima kwa sekunde moja.

Halafu wewe unaniuliza, likiua watu wote, nani atamzika mwenzake?

Hata watu wakishindwa kuzikana, hilo ni jambo tofauti ambalo halikanushi kwamba bomu limeua watu wote kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom