Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Death is constantly perfect per 100%Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.