ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wengine wanakojoa wengine bila bilaš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanakojoa wengine bila bilaš¤£
Kwanini Mwenyezi Mungu? Ulishawahi kumuona?Mwenyezi Mungu
Kuna Wabongo wengi hawajui kupingana kwa hoja, ukimpinga hoja yake anaona kama umemshambulia yeye binafsi.You are very wrong rafiki.
Kumuelewa Kiranga inabidi na wewe upstairs pawe vizuri kidogo ila ukiwa empty set kama mimi hutamuelewa.
Kiranga sio wa kawaida sema tu namna anavyoongelea Mungu imefanya baadhi ya watu wachukulie negative kwa kila anachochangia.
Pia kinachofanya aonekane mbishi ni kwa sababu ya uelewe wake mkubwa katika mambo mengi ambayo wengi wetu tunafikiri tunayajua ila hatuyajui.
Trust me hii JF nzima watu wanaoweza kum challenge Kiranga sidhani kama wanafika 10.
Najifunza mengi kupitia Kiranga
Tofauti ipo mkuu mtu anakuulisa saa ngapi sasa ukamjibu saa mbili na nusu,huu ni muda(time) ila sio umri(span)Mkuu,mbona kama umejichanganya? kwani nini tofauti ya Umri na Muda? mtu akukuuliza una umri gani si utataja muda/Umri/Age uliopo hapa Duniani?
Hapa tutakesha ndugu bora tujadili madaKwanini Mwenyezi Mungu? Ulishawahi kumuona?
Mungu yupo na hakika amekamilikaKwanini Mwenyezi Mungu? Ulishawahi kumuona?
Kipi ambacho hakijaandikwa?Kasoro zipo kwenye hicho kitabu kwasababu hakijaandika kila kitu
Kwani hapa hatujadili mada ndugu yangu? Mada iliyopo mezani ni kuhusu kitu kisicho na kasoro.Hapa tutakesha ndugu bora tujadili mada
Namna ya kuswaliKipi ambacho hakijaandikwa?
Swali linabaki palepale. Umeshawahi kumuona?Mungu yupo na hakika amekamilika
Kwanini uhai hauna kasoro?Kitu ambacho hakina kasoro ni uhai
Nini hakipo?Kasoro zipo kwenye hicho kitabu kwasababu hakijaandika kila kitu
Wewe ni mtu dhaifu sana,ndio maana mtu akikuchallenge unakimbilia kumuweka kwenye ignore list,hii ina maanisha kua hujiamini na huna self confidence,najua hii comment yangu hutaiona coz mimi ni mmoja wa uliowaweka kwenye igore list ila najua kua wale wote wanaokuabudu na wanaokubali kwa kila unalolisema watanisoma.Kuna Wabongo wengi hawajui kupingana kwa hoja, ukimpinga hoja yake anaona kama umemshambulia yeye binafsi.
Kibaya zaidi, anaacha kukujibu kwa kupinga hoja zako, anakushambulia wewe kama mtu (ad hominem attack). Hii ni daliki ya kukosa hoja.
Mimi siogopi kuambiwa mbishi. Hakuna maendeleo ya fikra bila ubishi.
Watu waliotengeneza computers, internet na email walifanya ubishi kubishia barua za kawaida na typewriters.
Wengine wakafanya ubishi wakaweka internet kwenye cellphone.
Usiseme Kiranga mbishi, onesha ubishi wake una kasoro gani? Hoja zake zina mantiki au hazina mantiki?
Kwa sababu, mtu anaweza kuwa anakukubalia kila kitu tu, hana ubishi, halafu hana mantiki. Mnakubaliana ujinga tu.
Halafu anayekuletea ubishi ndiye anayeleta mantiki nzuri.
Tusikubali kwamba ubishi kama ubishi tu ni kitu kibaya.
Hata Galileo alipoiambia dunia kwamba dunia inazunguka jua, jua halizunguki dunia, alionekana mbishi.
Leo watu wamekubali, mpaka kanisa lililompinga limeomba msamaha na kusema yule tulimuona mbishi, lakini alikuwa na akiki kubwa iliyokuwa mbali sana kiasi miaka ile hatukumuelewa.
Sasa hapa pia inawezekana naonekana mbishi kwa sababu watu hawaelewi vitu vingi tu kama unavyosema.
Vitu vyenyewe basic tu, basi tu watu wetu wengi wako nyuma sana.
MmmmhHakuna kasoro katika kuokoka, kuamin ni Yesu Kristo aliyemwokozi wako, kuliamin jina na damu take.
Ni kasoro sana kumwamin Kristo bila kuokaka.
Ni kasoro kumwamin Yesu Kristo bila kuliamin jina na damu yake.
Happy dominika kwa wote
Not reaHahah.
You are much too kind my friend.
Namfatilia Kiranga kwa karibia miaka 10 sasa.Wewe utakua humjui vizuri huyo punguani,hua anajifanya much know sana,na hata akielekezwa jambo hua hakubali coz amejiaminisha kua yeye humu jf ndio genius au anajua kila kitu kuliko wengine,acha kumuabudu huyu mtu,ni wakawaida sana,ubishi wake wa kitoto ndio maana watu hua wanamuignore kisha yeye hua anatafsiri kua ameshinda,
Au unambabaikia kisa hua anachanganya na lugha ya mkoloni? maana kuna watu mmekariri kua mtu akiandika kingereza basi ndio ana akili,huyo jamaa yako ukimchallenge anaishia kukuweka kwenye ignore list tu,anapenda watu kama wewe wanaomuabudu tu.
Namna ya kuswaliNini hakipo?
Uhai una kasoro, unakwisha.Kitu ambacho hakina kasoro ni uhai