Not rea
Namfatilia
Kiranga kwa karibia miaka 10 sasa.
Niko JF miaka mingi kama msomaji so ugeni wa ID yangu usikudanganye.
Kiranga ni "punguani" sababu anaongelea imani zetu kwa namna ambayo hatupendi japo hatuna facts za kum prove wrong hivyo inabidi tuishie kumtukana tu..
Watanzania wengi hatuna utamduni wa kupanua uelewa kwa kujisomea vitabu halafu unajukuta mnachangia mada na mtu asiyejua idadi ya vitabu alivyosoma lazima uone anajifanya much know.Hajifanyi much know yeye ni much know sbb ana know [emoji16] ukilinganisha na wengi wetu.
Naomba nikuukize,kwa sasa unasoma kitabu gani?
Mpaka sasa mbali ya biblia/Quran umesoma kutabu gani?
Mpaka sasa hivi umeshasoma vitabu vingapi?.
Narudia,huwezi kumuelewa Kiranga kama IQ yako ni ndogo sana.