Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Naona tunarudi tena tulipotoka.Sijasema kasoro ni nothingness.
Ninasema kitu pekee kinachoweza kuwa hakina kasoro, katika dhana (maana hakipo katika uhalisia) ni nothingness.
Nothingness haina kasoro.
Kwa sababu, ili iwe na kasoro, inabidi iwepo.
Na yenyewe haipo.
Hivyo haiwezi kuwa na kasoro.
Halafu katika fizikia, nothingness has the lowest possible entropy. Katika fizikia kasoro inaendana na kuongezeka kwa entropy (second law of thermodynamics).
Hivyo lowest possible entropy = nothingness = perfection.
Kasoro ni nini?