Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Sijasema kasoro ni nothingness.

Ninasema kitu pekee kinachoweza kuwa hakina kasoro, katika dhana (maana hakipo katika uhalisia) ni nothingness.

Nothingness haina kasoro.

Kwa sababu, ili iwe na kasoro, inabidi iwepo.

Na yenyewe haipo.

Hivyo haiwezi kuwa na kasoro.

Halafu katika fizikia, nothingness has the lowest possible entropy. Katika fizikia kasoro inaendana na kuongezeka kwa entropy (second law of thermodynamics).

Hivyo lowest possible entropy = nothingness = perfection.
Naona tunarudi tena tulipotoka.
Kasoro ni nini?
 
Yeah ila yatakuwa ni maono yako tu ila si uhalisia wake
Lakini pia, utajuaje kuna vitu havina mapungufu ila vipo wakati huwezi kuviona wala kuvipima?

Yani mimi nikiamua kukudanganya tu kwamba mimi sina mapungufu, ila wewe huwezi kujua hilo, utajuaje kwamba nasema ukweli au nadanganya?
 
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.

Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.

Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.

Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu

Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.

MUNGU TU NDIYE HANA KASORO.
 
Naona tunarudi tena tulipotoka.
Kasoro ni nini?
Kasoro ni kukosa efficiency 100%, kukosa stability 100%. Katika fizikia hii ni sawa na high entropy.

Gari linalotakiwa kuwa na matairi manne, likiwa na matairi matatu tu, badala ya manne, lina kasoro. Halina efficiency ya ku move kama gari kenye matairi manne, halina stability ya ku move kama gari lenye matairi manne.

Nothingness has the lowest possible entropy, therefore it is perfection, it has total efficiency in being nothingness, as well as total stability. If it deviate from that, it is no longer nothingness.

Everything else is flawed, by time, by space, by the second law of thermodynamics, by entropy, by quantum fluctuation, by the expansion of the universe, therefore, it can't be perfect.
 
Mbususu tu, ndio maana hata watu wakiugua wanarudi Tena hapohapo
 
Lakini pia, utajuaje kuna vitu havina mapungufu ila vipo wakati huwezi kuviona wala kuvipima?

Yani mimi nikiamua kukudanganya tu kwamba mimi sina mapungufu, ila wewe huwezi kujua hilo, utajuaje kwamba nasema ukweli au nadanganya?
Lakini na wew pia yakupasa ujiulize iweje wew ulie na mapungufu uweze kukijua kitu kisicho na mapungufu?! Hiyo ni ishara ya u-arrogant
(Ikiwa mwenyew umeprove una mapungufu)

Kuna vitu vipo katika ukamilifu wake ila udhaifu (upungufu) wako ndio una be proved kwa kutouona ukamilifu wake
 
Wewe unataka kuleta dini naona sasa.

Wakati mimi naongea vitu kisayansi zaidi.

Mimi najua kitu kimoja ambacho hakina mapungufu.

Nimekitaja hapo juu.

Kitu hicho ni nothingness.

Na kwa kuwa ni nothingness, hakipo.

Ukitoka kwenye nothingness tu, mapungufu ni lazima. Hiyo ni fizikia, entropy, second law of thermodynamics. Si mimi nasema tu.

Kwa hivyo, hakuna kisicho mapungufu.

Hayo si maneno yangu, hizo ni fizikia na hesabu za thermodynamics na entropy, ambazo zinatawala kila kitu kilicho katika time and space.

Na ukizibishia kimsingi unabishia hata uwepo wako mwenyewe na mazungumzo yetu haya kwenye internet.

Kwa sababu uwepo wako na mazungumzo yetu haya nayo ni subject ya hesabu na fizikia hizo hizo za entropy na second law of thermodynamics.
 
Kasoro ni kukosa efficiency 100%, kukosa stability 100%. Katika fizikia hii ni sawa na high entropy.

Gari linalotakiwa kuwa na matairi manne, likiwa na matairi matatu tu, badala ya manne, lina kasoro. Halina efficiency ya ku move kama gari kenye matairi manne, halina stability ya ku move kama gari lenye matairi manne.

Nothingness has the lowest possible entropy, therefore it is perfection, it has total efficiency in being nothingness, as well as total stability. If it deviate from that, it is no longer nothingness.

Everything else is flawed, by time, by space, by the second law of thermodynamics, by entropy, by quantum fluctuation, by the expansion of the universe, therefore, it can't be perfect.
Kwanza Kiranga mimi ni mwanafizikia kindaki ndaki

Tunaendelea kuzunguka pale pale tu.
Eidha ukubali kuwa hakuna kasoro, kwamba kasoro ni perception tu.
Pili unaongelea stability na efficiency 100%, kwa tukiogelea mambo hayo kwa upande wa fizikia tunaongelea vipimo.
Je, kipimo kinachopima efficiency au stability chenyewe hakipimwi?
 
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.

Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.

Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.

Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu

Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Uislam una mapungufu gani!?
 
Muda nao unamapungufu! Sio kila kona ya dunia muda ni sahihi. Kwa Uingereza naskia kuna wakati inabidi kurudisha saa moja nyuma ili usiku unapoingia uendane na muda/saa.
Kwa mfano unakuta saa mbili usiku lakini bado kuna mwanga wa kutosha tu.
Usiku kwa wazungu siyo Giza Wala asubuhi siyo mawio,wao saa SITA na dakika moja usiku ni asubuhi
 
Sijasema kasoro ni nothingness.

Ninasema kitu pekee kinachoweza kuwa hakina kasoro, katika dhana (maana hakipo katika uhalisia) ni nothingness.

Nothingness haina kasoro.

Kwa sababu, ili iwe na kasoro, inabidi iwepo.

Na yenyewe haipo.

Hivyo haiwezi kuwa na kasoro.

Halafu katika fizikia, nothingness has the lowest possible entropy. Katika fizikia kasoro inaendana na kuongezeka kwa entropy (second law of thermodynamics).

Hivyo lowest possible entropy = nothingness = perfection.

It is true, as you appose the Existence of God, that implies (in your imagination) God is a mere nothingness and so perfect.

Nothingness=perfection, God is perfect and can create every thing from the nothingness.
 
Kwanza Kiranga mimi ni mwanafizikia kindaki ndaki

Tunaendelea kuzunguka pale pale tu.
Eidha ukubali kuwa hakuna kasoro, kwamba kasoro ni perception tu.
Pili unaongelea stability na efficiency 100%, kwa tukiogelea mambo hayo kwa upande wa fizikia tunaongelea vipimo.
Je, kipimo kinachopima efficiency au stability chenyewe hakipimwi?

Kwa nini nikubali kasoro ni perception tu wakati second law of thermodynamics inakataza 100% stability na 100% efficiency?

Mkuu mbona nimeeleza hapo juu.

Unaelewa huhitaji kipimo chenye 100% efficiency ili kujua unachopima hakina 100% efficiency?

Unaelewa sihitaji kujua square root ya 2 exactly ni nini ( kipimo chenye 100% efficuency) ili kujua kwamba 10 si square root ya 2? Nahitaji kujua tu kwamba square root ya 2 ni ndogo kuliko 2, na hivyo, kwa kuwa 10 ni kubwa kuliko 2, 10 haiwezi kuwa square root ya 2.

Ndiyo maana tunaweza kujenga madaraja kwa kutumia pi yenye 5 decimal places tu (pi in decimal doesn't terminate).

Ingekuwa tunahitaji kipimo chenye 100% efficiency ili kupima efficiency vizuri, tusingeweza kujenga daraja linalopitika kwa kutumia pi yenye 5 decimal places tu.

Kwa sababu pi yenye 5 decimal places haina 100% efficiency.
 
Acha kukufulu we mshamba helewa swal aliouliza uyo kasema ni dunian inamaana ni kitu kinachoonekan acha kukulupuka kujibu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Wewe hujui hata wewe ni KITU??

Wewe ni kitu chenye uhai pia unajitambua lakini jiwe ni kitu kisichojitambua japo pia kinao uhai wa aina yake, hiyo ndio tofauti.
 
Kwa nini nikubali kasoro ni perception tu wakati second law of thermodynamics inakataza 100% stability na 100% efficiency?

Mkuu mbona nimeeleza hapo juu.

Unaelewa huhitaji kipimo chenye 100% efficiency ili kujua unachopima hakina 100% efficiency?

Unaelewa sihitaji kujua square root ya 2 exactly ni nini ( kipimo chenye 100% efficuency) ili kujua kwamba 10 si square root ya 2? Nahitaji kujua tu kwamba square root ya 2 ni ndogo kuliko 2, na hivyo, kwa kuwa 10 ni kubwa kuliko 2, 10 haiwezi kuwa square root ya 2.

Ndiyo maana tunaweza kujenga madaraja kwa kutumia pi yenye 5 decimal places tu (pi in decimal doesn't terminate).

Ingekuwa tunahitaji kipimo chenye 100% efficiency ili kupima efficiency vizuri, tusingeweza kujenga daraja linalopitika kwa kutumia pi yenye 5 decimal places tu.

Kwa sababu pi yenye 5 decimal places haina 100% efficiency.
Kwahiyo kwa kulinganisha kuwa hiki ni kikubwa halafu hiki ni kidogo inakupatia efficiency na stability 100%
Huoni hiyo ndiyo kasoro ya kipimo chako?

Ukikubali kuwa kasoro siyo uhalisia italeta mantiki kwenye comment yako.
 
Back
Top Bottom