Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Muda nao unakimbia sana hio ni kasoro
Binadam usieridhika wewe kila kitu kimekaa vizuri hakina kasoro hata kidogo ila ubongo wa binadamu ndo una kasoro ndo maana unaona dini inakasoro au elimu ina kasoro
 
Huna point mzee. Kama upo East Africa ni muda wa kulala. Kojoa ukalale. Bye.
Una assume, halafu kabla ya kuuliza upate uhakika, unakimbia na assumption yako ya uongo.

Katika ad hominem attack no less.
 
Una assume, halafu kabla ya kuuliza upate uhakika, unakimbia na assumption yako ya uongo.

Katika ad hominem attack no less.
Nimekuuliza unajibu kwa kuogopa eti siwezi kusoma. Hizo ni dalili za inferiority complex.
 
Nimekuuliza unajibu kwa kuogopa eti siwezi kusoma. Hizo ni dalili za inferiority complex.
Mkuu,

Hupendi ninavyoandika.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Na wewe fanya hivyo ili usione ninavyoandika.

Utakuwa umemaliza tatizo la kuona maandishi usiyopenda kuyaona.
 
Mkuu,

Hupendi ninavyoandika.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Na wewe fanya hivyo ili usione ninavyoandika.
Huwezi kunipangia wewe. Inferiority complex yako kaa nayo wewe. Wewe niweke tu. Mimi sina issue za kitoto hivyo.
 
Wagombanao ndiyo wapatanao akiba ya maneno
 
Daaah ushanivuruga mzee
 
'trat' na 'trab' havina kasoro, kasoro zipo kwa wanaotutafsiria kina Mwigulu.
 
Anaetumika kutambua hizo kasoro (Binaadamu) kajaa kasoro tele hivyo kila anachokiona ni lazima kiwe na kasoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…