Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Alikuja kuishi kama mwanadam, ile hali ya uungu ndani yake haikuwepo.
Kwa hiyo alihisi njaa, furaha na maumivu na alichoka
 
Labda lengo la kifo halikuwa kuua watu wote kwa pamoja since kila siku kila saa watu wapya wanazaliwa.
 
Labda lengo la kifo halikuwa kuua watu wote kwa pamoja since kila siku kila saa watu wapya wanazaliwa.
Ndiyo kimeshindwa kufanya kazi yake kwa 100% efficiency hivyo.

Mara mtu anaumwa anapona.

Mara anapata bonge la ajali anapona.

Kingekuwa hakina kasoro kungekuwa hakuna mtu, wote tungekuwa tushakufa.

Kwa vile tupo, kina mapungufu, kinangojea tuzeeke tudhoofike ndiyo kinatuchukua wengine.

Mara unasikia kibibi kina miaka karibu 120 ndiyo kinakufa.

Hapo kifo kimezembea saana tu.

Tukiwa vijana wengi kinatushindwa.
 
Kuna watu wanafariki punde tu wakizaliwa

Wengine ghafla, usiku kalala mzima asubuhi amefariki bila kuumwa wala kuwa mzee.

Kifo ni fumbo
 
Asante sana Guru Kiranga
 
Mada nzuri sana.

Kwa upande wangu, Dunia Ina Kila aina ya Mapungufu kwa sababu ya Anguko la Adam na Hawa.
Kabla ya Anguko Dunia haikuwa na Mapungufu.

Kikubwa ni kumkiri Yesu kama Bwana na Mokozi wa Ulimwengu.

We amini tu hujachelewa.
Hautopongukiwa na chochote.
 
Ukiingiza dini kwenye mada za kisayansi utatupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…