Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Atakwama huyo.Atashangaa nampisha chumba aendelee kujitakasa nafsi.Mimi nayeya kunyoosha miguu baa.Mke analala nansuruali ya jinzi yuko kwenye mfungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakwama huyo.Atashangaa nampisha chumba aendelee kujitakasa nafsi.Mimi nayeya kunyoosha miguu baa.Mke analala nansuruali ya jinzi yuko kwenye mfungo
Ndio, ukiulizwa mkataba wa upangaji unao? Ukiulizwa cheti cha ndoa unacho? Je huyo uliyenaye mnauhusiano naye? Huoni kuwepo pale unahatarisha afya yakoHii nchi ya kizembe sana. Yani unazurula ukiwa chumbani.
Unabambikwa kosa lingine ambalo lipo kisheriaKosa hilo ambalo haliko kisheria, adhabu zake zinatolewa vipi?
Wataliletea ushahidi?Unabambikwa kosa lingine ambalo lipo kisheria
Mkuu mbona umekuja kutusema 🤣🤣Ndomu mbona cha mtoto, kuna wengine hapa wanapiga deki kabisa kule kwenye tundu la kuzimu
Tundu la kuzimu noma sanaNdomu mbona cha mtoto, kuna wengine hapa wanapiga deki kabisa kule kwenye tundu la kuzimu