Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Jukwaani tunajua wewe ndio bi mdashi😂mi ni mchepuko wake tu hajanioa....ngoja nikamuulize anayemmilki.Itakuwa ananyota yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaani tunajua wewe ndio bi mdashi😂mi ni mchepuko wake tu hajanioa....ngoja nikamuulize anayemmilki.Itakuwa ananyota yake
😂😂Bas. Hajaeleweka...watu tunajibu tuMwache bhana.... mada imechangamka hadi sasa swali lake halijajibiwa
Swali la kisheria, hebu soma post ya kwanza kabisa😂😂Bas. Hajaeleweka...watu tunajibu tu
Mimi humu Nina wapenz wengi sana ila mume mmoja Zuluman😂😂😂😂Jukwaani tunajua wewe ndio bi mdashi
SawaSwali la kisheria, hebu soma post ya kwanza kabisa
OK. Sorry for getting you wrong. Siku zote nikajua ni yeyeMimi humu Nina wapenz wengi sana ila mume mmoja Zulu man 😂😂😂😂
😂😂😂😘😘😘🙏OK. Sorry for getting you wrong. Siku zote nikajua ni yeye
Nisamehe bure😂😂😂😘😘😘🙏
No,don't mention it cuteNisamehe bure
PoaNo,don't mention it cute
Sheria za nchi zimekataza Kwa Namna yoyote kuanzisha danguro au biashara ya ukahaba pia imesisitiza kuwa yeyote atakayekutwa maenneo hayo Ni sehemu ya kosa,Ila naona polisi wanapokukamata katika mazingira hayo wakikupeleka mahakamani inawawia vigumu kuthibitisha Kwa Sababu inatokeaga ghafla, Ila kisheria wanatakiwa wawe na watu au uongozi wa raia watakaothibitisha uharifu huo ndio maana wameamua kumpa kosa la uzembe na uzurulaji ambalo ni common na Ni rahisi kuileza mahakama Kwa kuwa kuthibitisha uzembe na uzurulaji kwao ni suala la Doria zao na muda pia mazingira husika.KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.
Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Je kahaba hawezi kuwa mke?Sheria za nchi zimekataza Kwa Namna yoyote kuanzisha danguro au biashara ya ukahaba pia imesisitiza kuwa yeyote atakayekutwa maenneo hayo Ni sehemu ya kosa,Ila naona polisi wanapokukamata katika mazingira hayo wakikupeleka mahakamani inawawia vigumu kuthibitisha Kwa Sababu inatokeaga ghafla, Ila kisheria wanatakiwa wawe na watu au uongozi wa raia watakaothibitisha uharifu huo ndio maana wameamua kumpa kosa la uzembe na uzurulaji ambalo ni common na Ni rahisi kuileza mahakama Kwa kuwa kuthibitisha uzembe na uzurulaji kwao ni suala la Doria zao na muda pia mazingira husika.
Lazima tuwaambie sana tuWaambie hao
Kwa makubaliano yenu inawezekana Ila utakuja kujuta kama Manara.Je kahaba hawezi kuwa mke?
Teh teh.![]()
!![]()
Hivi yaweza kuwa kweli'eeh?
Kwamba ni yeye mkuu mwenyewe buji aliganduliwa akifanya!
Maana hilo nalo neno ujue!
Kwani vijiwe vya wauza bangi huwa vinawekwa vibao tambuzi?Ukikutwa sehemu kharamu na utoe utetezi kama wako ni lazima uchezee virungu ili akili iwe sharp kwa haraka.Mazingira hatarishi yatakusababisha uingie taabuni sana.Jipange kwa utetezi imara na si huo ulioutoa.Hilo eneo linajulikana kisheria kama linatoa huduma hiyo iliokatazwa?
Je pana katazo watu wasifike au kuishi eneo hilo?
Kama ni shida ya hela serekali iweke tozo kuishi au kuingia eneo hilo.
Inakuwaje marufuku mtu kulala na anaempenda? Hata kama kuna kasheria kanakataza hako hakatufai!
❤afu eti ule kondoo wako kweli? Waambie wajibu swali ipasavyo....kwamba je,MTU anaweza zurura chumbani kweli?
Penye kuzirura sasa hapo!!!❤afu eti ule kondoo wako kweli? Waambie wajibu swali ipasavyo....kwamba je,MTU anaweza zurura chumbani kweli?
Upo sahihi kwa kiasi fulani kuhusu wakamataji kutokuwa na ushawishi mzuri mahakamani.Baadhi yao.Basi,omba nisikukamate mimi.Nikukamate bila uonevu halafu nishindwe kuiaminisha mahakama uhalifu wako?Aisee PGO itageuka kuwa OPP!Naanza kuona mantiki.
Lakini mkuu unaijua vuta nikuvute ya maswali ya kisheria mahamani?
Hao wakamataji kuthibitisha kisheria kuwa eneo hilo ni la makahaba kuna ugumu wake hasa ukikuta mdodosaji katuliza akili.
"Kuthibitisha" ni neno pana sana linaloweza kumjaza mate mdomoni mshitaki.
Itakula kwako,kumtuliza MTU aliyezoea mikuyenge ya kila namna yahitaji moyo sanaJe kahaba hawezi kuwa mke?