Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
Mit 6:32 SUV
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mit 6:32 SUV
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Hamna moto wa bure, January hii mjini watu wanatumia akili za ziada kuudaka mkate[emoji23][emoji23][emoji23]bro hujasikia au utatuigizia?
Peleka mtoto huyo.
Comments zote hakuna aliyejibu kibobezi, sote ni ma lay man wa sheria.Umefafanua vyema
Ameitwa kahaba.Umekutwa sehemu inapouzwa ngono(ina maana inajulikana).Kuhusu kahaba kuwa na mpenzi,mna ushahidi gani na jamii ishuhudie mbele ya sheria?Eneo la malaya haligeuki haraka hivyo kuwa "geto la demu" wako.Je,sheria inaruhusu umalaya/kufanya biashara ya kuuza ngono?Turudi Rau Madukani.Kahaba haruhusiwi kuwa na mpenzi? Je kuna sheria yoyote inamkataza mwanaume asidinyie kwenye chumba cha demu wake?
Huu msitari umekuwa ngao na mwelekeo wangu kila nikijaribu kukengeuka.Mit 6:32 SUV
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Ama kweli wewe ni mgonjwa wa Magonjwa MtambukaYaani kukamatwa ukamatwe wewe halafu unajifanya eti “mwananzengo mwenzetu” kakamatwa.😂
Duh.Ama kweli wewe ni mgonjwa wa Magonjwa Mtambuka
Mama muuza pombe kavaa mask, kajifunika uso mzima, hata macho hayaonekani. Huyu anaumbo la Polisi.Ameitwa kahaba.Umekutwa sehemu inapouzwa ngono(ina maana inajulikana).Kuhusu kahaba kuwa na mpenzi,mna ushahidi gani na jamii ishuhudie mbele ya sheria?Eneo la malaya haligeuki haraka hivyo kuwa "geto la demu" wako.Je,sheria inaruhusu umalaya/kufanya biashara ya kuuza ngono?Turudi Rau Madukani.
Mama muuza pombe kavaa mask, kajifunika uso mzima, hata macho hayaonekani. Huyu anaumbo la Polisi.Ameitwa kahaba.Umekutwa sehemu inapouzwa ngono(ina maana inajulikana).Kuhusu kahaba kuwa na mpenzi,mna ushahidi gani na jamii ishuhudie mbele ya sheria?Eneo la malaya haligeuki haraka hivyo kuwa "geto la demu" wako.Je,sheria inaruhusu umalaya/kufanya biashara ya kuuza ngono?Turudi Rau Madukani.
Kahaba kama alivyo mtu mwingine ana haki ya kuwa na mpenzi.Awali,umeeleza jamaa amekutwa ile sehemu inakotolewa huduma ya ngono(ina maana jamii na hata weye unajua kwamba wanafanya biashara hiyo).Swali:Sheria za nchi zinaruhusu hiyo biashara?Jamaa amekutwa hapo.Ni kwake?Kama si kwake na anajua yupo "gulio" hatarishi huyo ni mzembe kuzembea utii wa sheria.Hayupo kwake.Ina maana anazurula bila kujielewa shughuli aifuatayo.Sasa,asipelekwe kabatini kwa nini wakati amevunja sheria,anafanya umalaya na yupo sehemu isiyo sahihi anazurula?Jibu swali hili. Je kahaba haruhusiwi kuwa na mpenzi? Kama mapenzi ni ya wawili, hiyo jamii inaingiaje hapa?
Tunataka "angle" namna ya kulithibitisha hilo mahakamani, ndiyo maana maswali ni mengi hayajapata majibu.Kwani ukikutwa na gongo au unauza bangi humo ni kosa sio kosaukahaba ni biashara haramu kama gongo na bangi
Aliyekutwa kwa makahaba kesi itamshinda.Ana makosa ya kukutwa nyumba ya makahaba akifanya umalaya.Na hayupo kwake pale.Ni mzurulaji tu.Kutokujua kwake hakutamsaidia kuepuka rungu la sheria.[emoji3][emoji3][emoji3] waende mahakamani
Na Tukuyu ukaninyimaJa nilikuota usiku umenipeleka nyumbni kwako
Hapo sirikali imevaa mawani ya mbao tofauti kabisa na haya ya kwangu.. Ndio maana hizi kesi huwa hazipelekwi mahakamani kwakuwa ushahidi hautosheleziUzi unaeleza kakutwa kwenye zile nyumba ambamo hao akina "dada" hutoa huduma kwa kubadilishana na amafranga yaliyokubaliwa.Kama eneo tu limejulikana hutolewa huduma hiyo,je sheria za nchi zinaruhusu mtoa na mtaka huduma kuwepo eneo hilo?
Kwa maelezo yako sio kosa,hizo kesi huwa ni ngumu kuthibitisha mahakamani ndio maana huishia polisi,ila haiondoi maana kuwa ukahaba ni kosa kisheriaTunataka "angle" namna ya kulithibitisha hilo mahakamani, ndiyo maana maswali ni mengi hayajapata majibu.
Kukamatwa chumbani ukifanya falagha ni kosa?
Maana hao malaya hawajaweka bango la biashara, hayo ni makazi mtu kapanga anaishi.
Haya labda tuseme alihojiwa na kukiri kuwa hapo siyo kwake, je ni kosa kisheria wapenzi wasio wanandoa kufanya falagha zao?
Hapo ndipo ninapopafuatilia mimi.
Kama unaielewa hiyo sheria, weka na vifungu kabisa tumalize mjadala.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!Ushahidi wa kimazingira utamtoa relini.Busara ni kutuliza akili,kuongea na wakamataji myaweke sawa.Utaaibika.Wabrashie moka walizovaa halafu wanakutema ujikatae kwa waziri mkuu nyumbani.
Teh teh.[emoji38][emoji38][emoji38]!Yaani kukamatwa ukamatwe wewe halafu unajifanya eti “mwananzengo mwenzetu” kakamatwa.[emoji23]
Naanza kuona mantiki.Aliyekutwa kwa makahaba kesi itamshinda.Ana makosa ya kukutwa nyumba ya makahaba akifanya umalaya.Na hayupo kwake pale.Ni mzurulaji tu.Kutokujua kwake hakutamsaidia kuepuka rungu la sheria.
MahakamaniAkomae kesi iende polisi uone polisi watakavyokimbiana