G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,737
- 1,891
Hilo eneo linajulikana kisheria kama linatoa huduma hiyo iliokatazwa?Uzi unaeleza kakutwa kwenye zile nyumba ambamo hao akina "dada" hutoa huduma kwa kubadilishana na amafranga yaliyokubaliwa.Kama eneo tu limejulikana hutolewa huduma hiyo,je sheria za nchi zinaruhusu mtoa na mtaka huduma kuwepo eneo hilo?
Je pana katazo watu wasifike au kuishi eneo hilo?
Kama ni shida ya hela serekali iweke tozo kuishi au kuingia eneo hilo.
Inakuwaje marufuku mtu kulala na anaempenda? Hata kama kuna kasheria kanakataza hako hakatufai!