Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Kwani malaya wa kwenye hivyo vibanda, kuna sehemu wameweka tangazo kuwa kuna biashara wanauza?

Hivyo vibanda ni makazi duni ya raia.
Sasa kuwakuta chumbani hata kama wanafanya mapenzi live ni kosa kisheria?

Ndiyo swali la mantiki ya mleta uzi.
Kwani ukikutwa na gongo au unauza bangi humo ni kosa sio kosaukahaba ni biashara haramu kama gongo na bangi
 
Ushahidi wa kimazingira utamtoa relini.Busara ni kutuliza akili,kuongea na wakamataji myaweke sawa.Utaaibika.Wabrashie moka walizovaa halafu wanakutema ujikatae kwa waziri mkuu nyumbani.
Kahaba haruhusiwi kuwa na mpenzi? Je kuna sheria yoyote inamkataza mwanaume asidinyie kwenye chumba cha demu wake?
 
Yeah polisi watatoa ushahidi gani? Kosa la uzururaji? Mtu kalipia chumba gesti anawezaje kuzurura ndani ya chumba?

Mimi nikiwa kama wakili wake nitawauliza polisi tafsiri ya uzururaji ninini
Uzi unaeleza kakutwa kwenye zile nyumba ambamo hao akina "dada" hutoa huduma kwa kubadilishana na amafranga yaliyokubaliwa.Kama eneo tu limejulikana hutolewa huduma hiyo,je sheria za nchi zinaruhusu mtoa na mtaka huduma kuwepo eneo hilo?
 
KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Wamweleze km mtu anazurula chumbani tena kitandani. Wampeleke mahakamani wakathibitishe, huko ndiko haki yake itapatikana. Yeye awaeleze alikua amejistarehesha na Mpenzi wake chumbani amekamatwa na kuitwa mzurulaji.
Note: Biashara ya ngono kwa tz haitambuliki ni haramu
 
Uzi unaeleza kakutwa kwenye zile nyumba ambamo hao akina "dada" hutoa huduma kwa kubadilishana na amafranga yaliyokubaliwa.Kama eneo tu limejulikana hutolewa huduma hiyo,je sheria za nchi zinaruhusu mtoa na mtaka huduma kuwepo eneo hilo?
Maeneo yote hatarishi huwekewa alama na mabango ya tahadhari. Wakati mwingine huwezewa utepe wa tahadhari
 
Back
Top Bottom