Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Kosa ni kukutwa chumba cha malaya
Mwanaume usikubali kulala chumba cha malaya, mpigie simu aje kwako au mkutane lodge
 
Sasa unataka uipe serekali kazi ya kuomba nyongeza ya msaada wa ARV
 
Mchango wangu w kisheria bila kujihangaisha na vifungu ni kwamba suala la umalaya, kosa ni kuthibitika mwanamke amejipatia kipato kwa kufanya ngono. Lakin si kutembea na wanaume hata wawe milion.
Ndiyo maana polis huishia kubuni kesi ya uzembe na uzururaji.
Ndo kusema wanawake wengi kwa nyakati hizi ni potential criminals kupitia kosa hili. Haijalishi wana hali zipi.
 
Sio kosa kisheria na hakuna mtu anaezurula chumbani,,,lakini kuna mazingira yafuatayo 1.alikutwa maeneo ambayo hivyo vyumba vimezuliwa hiyo biashara isifanyike 2.wenda alikamatwa masaa ambayo siyo rafiki wakati mda mchache ndo anaingia chumbani 3.wenda huyo ni mharifu wa mda mrefu na alikuwa anatafutwa na hawakumchana live kwa mda huo il kuepuka taharuki 4.nk
 
KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Siyo kosa. Na ninadhani ndiyo sababu hasa iliyowafanya polisi kutotaja habari ya kulala na kahaba kwenye kosa wanalomtuhumu nalo jamaa yako..!!
 
KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Kama hakuwa kwake huyo ni mzembe aliyekuwa anazurula.Alipenda sana "Tokopembamaswaa" ila zenyewe zimempeleka lupango.Koh!koh!yaw...yaw!
 
Kufanya biashara bila keseni ni kosa,hao malayer hawana keseni ya biashara
Kwani malaya wa kwenye hivyo vibanda, kuna sehemu wameweka tangazo kuwa kuna biashara wanauza?

Hivyo vibanda ni makazi duni ya raia.
Sasa kuwakuta chumbani hata kama wanafanya mapenzi live ni kosa kisheria?

Ndiyo swali la mantiki ya mleta uzi.
 
Back
Top Bottom