Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Sheria za nchi zimekataza Kwa Namna yoyote kuanzisha danguro au biashara ya ukahaba pia imesisitiza kuwa yeyote atakayekutwa maenneo hayo Ni sehemu ya kosa,Ila naona polisi wanapokukamata katika mazingira hayo wakikupeleka mahakamani inawawia vigumu kuthibitisha Kwa Sababu inatokeaga ghafla, Ila kisheria wanatakiwa wawe na watu au uongozi wa raia watakaothibitisha uharifu huo ndio maana wameamua kumpa kosa la uzembe na uzurulaji ambalo ni common na Ni rahisi kuileza mahakama Kwa kuwa kuthibitisha uzembe na uzurulaji kwao ni suala la Doria zao na muda pia mazingira husika.
 
Je kahaba hawezi kuwa mke?
 
Teh teh.
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
!

Hivi yaweza kuwa kweli'eeh?

Kwamba ni yeye mkuu mwenyewe buji aliganduliwa akifanya!

Maana hilo nalo neno ujue!

Hilo eneo linajulikana kisheria kama linatoa huduma hiyo iliokatazwa?
Je pana katazo watu wasifike au kuishi eneo hilo?

Kama ni shida ya hela serekali iweke tozo kuishi au kuingia eneo hilo.

Inakuwaje marufuku mtu kulala na anaempenda? Hata kama kuna kasheria kanakataza hako hakatufai!
Kwani vijiwe vya wauza bangi huwa vinawekwa vibao tambuzi?Ukikutwa sehemu kharamu na utoe utetezi kama wako ni lazima uchezee virungu ili akili iwe sharp kwa haraka.Mazingira hatarishi yatakusababisha uingie taabuni sana.Jipange kwa utetezi imara na si huo ulioutoa.
 
Naanza kuona mantiki.

Lakini mkuu unaijua vuta nikuvute ya maswali ya kisheria mahamani?

Hao wakamataji kuthibitisha kisheria kuwa eneo hilo ni la makahaba kuna ugumu wake hasa ukikuta mdodosaji katuliza akili.

"Kuthibitisha" ni neno pana sana linaloweza kumjaza mate mdomoni mshitaki.
Upo sahihi kwa kiasi fulani kuhusu wakamataji kutokuwa na ushawishi mzuri mahakamani.Baadhi yao.Basi,omba nisikukamate mimi.Nikukamate bila uonevu halafu nishindwe kuiaminisha mahakama uhalifu wako?Aisee PGO itageuka kuwa OPP!
 
Back
Top Bottom