Tatabhyala
Member
- Aug 16, 2015
- 43
- 11
Haina shida ila muhimu ujue kwa nini yuko single na ana mtoto?
Ama alikuwa macho juu juu akapigwa kitu shuleni
Ama alikuwa waya mkali kitaa akatumia papuchi ili mkono uende kinywani
Ama anapenda sana hii kitu hii/ yaani ndio furaha yake
Lakini kubwa zaidi kupata mimba ina maana alitoa mnofu yaani hakujali. Sasa vipi ndani ya ndoa asije kumpa mnofu muuza samaki, msugua kucha, muuza genge, dereva bodaboda..... Kwani wanawake wana akili basi!?
Atakuwa anasaidiana na alie kuwa hilo poli..ya nini ung'ang'anie koloni la mtu?
Majukumu je..ukikua unatakiwa uface majukumu and ur fearsKwani heshima inapatikana kwa kuoa tu?
Hakuna waliooa ila hawana heshima?
Muwe responsible na mimba mnazowapa kinadadaSs tufanyaje????
Wanaoface majukumu ni waliooa tu? Ambao hawajaoa hawaface hayo majukumu?Majukumu je..ukikua unatakiwa uface majukumu and ur fears
Siku mfano unaumwa hoiii umelazwa utaogeshwa na mama au mke?jitafakari
Ingine ni mapenzi kwa mwanamke wako na familia mtakayoitengenezaWanaoface majukumu ni waliooa tu? Ambao hawajaoa hawaface hayo majukumu?
Kuhusu kuumwa sio lazima mtu ahudumiwe na mke tu. Je wale ambao wake zao walishatangulia mbele za haki,hawahudumiwi wanapolazwa?
Ni kwa vile tuu hamjui behind the scene ya hawa watoto, hapo awali nilidhania hivyo pia lakini kwa jonsi ilivyo inafika mahali unakubaliana na Hali ya kuendelea na life yako na mwanao pasipo mwanaume, hawa viumbe ni sheeeedraJamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto.