Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Bro asante sana,kwa ushauri wako,na kusema ukweli sijawahi kuona upendo wa dhati kama ninavyouona kwa huyu dada,ki ukweli namuheshimu mno na hii inatokana na nidhamu yake.
 
Inategemea wameachana katika misingi gani kuna mwingine alibakwa akapata hiyo mimba, kuna mwingine walikuwa wanakula ujana hasa mapenzi ya chuo na watoto wa sekondari ujue hapo ndoa hamna na pia kama imetokea binti mwenyewe alikuwa kicheche so mshikaji akaona hafai kuwekwa ndani, haya yote ni ya kuzingatia wakati unataka kuoa mwanamke mwenye mtoto.

ila kwa kifupi usiwaze mapenzi hajalishi sana ilimradi mpendane na wewe uwe tayar kutoa malezi kwa mtoto husika au kama baba yake yupo amchukue mwanaye amlee ili kuondoa mawasiliano ya karibu na mkeo
 
Mimi kuoa mwanamke mwenye labda baba wa mtoto awe amefariki na sitaamini mpaka nilione kabuli lake.....
 
Kuna jamaang leo kaenda kujitambulisha huko nyumbani kwa single mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…