Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
K
karma
 
Duh
 

Muache aendelee kusota kwa maana amechagua kuishi maisha ya kujitoa ufahamu
 
Si mapya haya. Seif Sharifu alisota jela kwa miaka kwa mashitaka ya uhaini. Uchunguzi ulikuwa haukamiliki. Mahakama ya rufaa haikutoa maamuzi, kilichoendelea ni kupigwa kalenda tu.

Baada ya watawala kuamuwa kuwa imetosha wakaondosha kesi mahakamani. Hapo ndiyo Mahakama ya Rufaa ikaja na hukumu kwa hakuwezi kuwa na kesi ya uhaini Zanzibar kwa sababu si nchi,
 
Dr Slaa kisiasa amechuja,hana madhala,wala hana wafuasi wa kutisha.
Mwachie huru na ikiwezekana ajifungie kwenye nyumba za watawa (Convent) kwani uraiani pamemshinda.
 
Reactions: Tui
Nenda mahakamani kawaulize unaniuliza mimi
Nimekuuliza wewe baada ya kauli yako "atakaa ndani hadi maji aite.." ndio nimekuuliza hiyo ndio new order of the day kwamba watu watakaa rumande kukomolewa ilhali kosa lina dhamana?
 
Kwa jibu langu la mitaani tunamshikisha adabu akitoka hapo ataamkia watoto shikamoo
Adabu kwa kosa gani, mnamshikisha adabu kwa kosa ambalo bado lina dhamana na bado mahakama ilidai bado uchunguzi haujakamilika na mtu anashikiliwa kwa kosa lenye dhamana, akili za wapi hizo?

Nenda Kenya hapo ujifunze standards za kimahakama.
 
Slaa si ndo alisema anachukia watu wakisema Mbowe sio Gaidi? Mwache asoteshwe aisee.... huyo mzee ana roho mbaya na mropokaji mno. Angeweza kuuchuna tu ila sio kuchukia watu walivyokuwa wakimtetea Mbowe.
 
Manasara lazima mjue kuwa nyinyi ni makafiri sehemu yenu ni jela tu ...sisi waisiharamu hatutaki mchezo na manasara kwetu uzalendo ni mavii na mzalendo ni adui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…