Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #101
Adhaminiwe, mashitaka yake yaendelee akiwa nje kwa dhamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adhaminiwe, mashitaka yake yaendelee akiwa nje kwa dhamana
Huu ni udhalimu, haki ni msingi wa amaniYEYE SILAA SI ANAJIFANYA CHA MDOMO,
NGOJA ASOTE ILI AKITOKA AUFYATE
karmaMzee wacha akae ale na pasaka huko naona alidhani anawatu huwezi kwenda kwenye mitandao ukashutumu idara ya usalama na Raisi hadharani kwa rushwa bila kuwa na uthibitisho, eti nimeambiwa na mwana usalama mmoja halafu uachwe salama. Mzee mnafiki ni huyu huyu alimchongea Mbowe kwa JPM akatiwa ndani na siku alihojiwa akasema mahakama iachwe kufanya maamuzi. Sasa unafiki umefika mwisho wako wapi wafuasi wake wa kwenye mitandao? serikali ikitaka inakujia tu....akitoka hakumbuki hata nyumba yake ipo wapi.....
DuhBahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Timing, situation, circumstances na hata influence ni tofauti. Acha kufananisha vitu visivyoelekeana.
That old man since he became Jiwe's stooge sitomuamini tena na sielewi ex-chawa wa Mwendakuzimu anauhusiano gani na harakati, ni opportunist aliyekubuhu hivyo apambane na hali yake.
Wadhaminiwe, hiyo ndio haki wanayostahiliVipi kwa wengine wenye makosa yanayodhaminika?
Naunga mkono hoja Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…Adhaminiwe, mashitaka yake yaendelee akiwa nje kwa dhamana
ni kweli Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?Huu ni udhalimu, haki ni msingi wa amani
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Kwa kosa linalodhaminika kwanini aendelee kuwepo rumande?yupo ndani kisheria
Acha mahakama ifanye kazi yake kwa mujibu ya maneno ya Dr Slaa. Tuheshimu mahakamaKwa kosa linalodhaminika kwanini aendelee kuwepo rumande?
Jibu swali , nini sababu ya yeye kuendelea kuwepo rumande ilhali kosa lina dhamana?Acha mahakama ifanye kazi yake kwa mujibu ya maneno ya Dr Slaa. Tuheshimu mahakama
Nenda mahakamani kawaulize unaniuliza mimiJibu swali , nini sababu ya yeye kuendelea kuwepo rumande ilhali kosa lina dhamana?
Kwa jibu langu la mitaani tunamshikisha adabu akitoka hapo ataamkia watoto shikamooJibu swali , nini sababu ya yeye kuendelea kuwepo rumande ilhali kosa lina dhamana?
Nimekuuliza wewe baada ya kauli yako "atakaa ndani hadi maji aite.." ndio nimekuuliza hiyo ndio new order of the day kwamba watu watakaa rumande kukomolewa ilhali kosa lina dhamana?Nenda mahakamani kawaulize unaniuliza mimi
Adabu kwa kosa gani, mnamshikisha adabu kwa kosa ambalo bado lina dhamana na bado mahakama ilidai bado uchunguzi haujakamilika na mtu anashikiliwa kwa kosa lenye dhamana, akili za wapi hizo?Kwa jibu langu la mitaani tunamshikisha adabu akitoka hapo ataamkia watoto shikamoo
Manasara lazima mjue kuwa nyinyi ni makafiri sehemu yenu ni jela tu ...sisi waisiharamu hatutaki mchezo na manasara kwetu uzalendo ni mavii na mzalendo ni aduiNajiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.