macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.Hahahahah kumiliki chuma imekuwa anasa
Well, hiyo inaweza kusaidia kuongeza ajira kwa mafundi body wa gereji hasa zile za mtaani, maana namba ‘C’ zilizo juu ya mawe zinatisheleza mahitaji yetu ya mwaka mzima.., this migjt actually save us forex and provide job opportunities, its a potentially good move, lets do it!Mimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.
Aaah, yaani mtu apasuke 18mil. kuagiza hicho ki ‘shopping Cart’?Gari hashikiki jamaa yangu kaagiza RAUM imefika na 18M kila kitu wakati ilikuwa inafika kwa 10M
🙏Japan population ya watu wazima ni around watu milioni 100, hivyo owners wa magari ni wengi na hawatumii magari kwa muda mrefu kama sisi unakuta gari lina miaka 20 tangu litengenezwe ndiyo mtu analinunua na kusema jipya.
Huo ndo utanzania halisi sasa,dadek roho mbaya ndo zetuMimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.
Alafu anakuja tapel mmoja humu jamii forum anakandya ist,bado kidogo paso itauzwa 20mlGari hashikiki jamaa yangu kaagiza RAUM imefika na 18M kila kitu wakati ilikuwa inafika kwa 10M
Vyuma vimekaza au kulegea?Gari hashikiki jamaa yangu kaagiza RAUM imefika na 18M kila kitu wakati ilikuwa
Ndiyo mkome, mlishangilia kifo cha Magufuli Sasa mnaisoma nambaGari zimekuwa bei sana kuagiza
Una roho ya umasikiniMimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.
si sawa na ilivyokuwa mwanzo, kwa sasa hata gari za mkononi kwa tz zipo juu, na watu hawauzi magari yao wanayaboresha tu maisha yanaendelea. huu wakati ni wakushika na kutunza sana ulichonacho, gari iliyokuwa ikiuzwa 10.5 - 11m kwa sasa imepanda hadi 18.5 - 20m ( ist, vits, premio ..... )Tukisema ni gharama za kuagiza swali linakuja idadi ya waagizaji nayo imeshuka? Namba mpya mbona kama inakimbia mno? Tupo sijui EH.
Na kodi inapokuwa kubwa sana inapunguza dhamani ya hela ,maana unatumia hela nyingi kununua vitu au kitu kidogo ( buku 10 unanuna sabuni mche)hela inakuwa haina dhamani. TRA waangalie hili pia,wanaishusha fedha yetu pia dhamani yake, mwisho wa siku watu watakuwa wanaenda na kapu la hela kununua nyanya sokoni,inakuwa kama enzi zile zimbabwesi sawa na ilivyokuwa mwanzo, kwa sasa hata gari za mkononi kwa tz zipo juu, na watu hawauzi magari yao wanayaboresha tu maisha yanaendelea. huu wakati ni wakushika na kutunza sana ulichonacho, gari iliyokuwa ikiuzwa 10.5 - 11m kwa sasa imepanda hadi 18.5 - 20m ( ist, vits, premio ..... )
mfumuko wa bei!!!!!Na kodi inapokuwa kubwa sana inapunguza dhamani ya hela ,maana unatumia hela nyingi kununua vitu au kitu kidogo ( buku 10 unanuna sabuni mche)hela inakuwa haina dhamani. TRA waangalie hili pia,wanaishusha fedha yetu pia dhamani yake, mwisho wa siku watu watakuwa wanaenda na kapu la hela kununua nyanya sokoni,inakuwa kama enzi zile zimbabwe
Mwachen mzee apumzike aloo,Kila siku kumtajatajaNdiyo mkome, mlishangilia kifo cha Magufuli Sasa mnaisoma namba
Bado kidogo Dharau zitaisha tu,mtu akiwa hata na passo atapewa heshima yake,Aaah, yaani mtu apasuke 18mil. kuagiza hicho ki ‘shopping Cart’?