si sawa na ilivyokuwa mwanzo, kwa sasa hata gari za mkononi kwa tz zipo juu, na watu hawauzi magari yao wanayaboresha tu maisha yanaendelea. huu wakati ni wakushika na kutunza sana ulichonacho, gari iliyokuwa ikiuzwa 10.5 - 11m kwa sasa imepanda hadi 18.5 - 20m ( ist, vits, premio ..... )