Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Uzoefu unaonyesha kwamba gari za zamani zina uimara kuliko za sasa.
Linganisha Raum old, na Raum new. Old ipo imara zaidi.
Linganisha Corolla 110 vs Ruminion.
Angalia Spacio old vs new. Old ni poa sana.
Bado kuna mnyama Land Rover
Hata bajaji namba A na B ni imara ukilinganisha na hizi mpya.
Watanzania wengi hujali namba ya usajili kuliko uimara wa chombo.
Wajanja ndiyo hao wanaonunua namba kongwe na kuzitumia.
Old is gold; ukatae ukubali.