Je, ni kwanini Japan tunayoambiwa ina uchumi mkubwa na maendeleo inagandamiza abiria kwenye treni kama viazi ulaya?

japani wako vizuri mkuu ,hapo wanalundikana kwenye treni ili kufaidi kudungana tu,au unazani dunga dunga wapo bongo tu 🙂 joking, but some time may be true.
 
Mleta mada kakazia sana neno umaskini kisa kulundikana kwenye treni. Usilojua hiyo hali ni kawaida kwa japan na s. Korea . Watu wanawahi makazini hasa wale wanaofanya kazi kwenye mega factories. Unakuta kiwanda kina wafanyakazi hata 30000 na wanalipwa vizuri ku afford kununua private car. Lakini wananchi wanakuwa encouraged kutumia public transport for the sake of controlling env. Pollution. Af pia kijiografia japan ni ndogo .Hata ukiwa na gari utaendesha wapi? Maana jiji liko full al the time. Nchi zenye uchumi mkubwa , raia wake kutumia public transport kwao sio tatizo , ila huku tunaona big deal
 
Tunaizungumzia Japan tukiwa huku Tandahimba umeme toka jana umekatika sijui utarudi lini mambo zingine ni kupata Exposure ya baadhi ya Nchi ili tuone uhalisia wa tunachokiandika ..
 
Kwahiyo ni matajiri waliozoea maisha ya kifukara. Maana ni kawaida kwao. Sawa.

Kwahiyo kisa watu wa Mbagala wamezoea kuingilia madirishani kwa sababu ya shida ya usafiri basi inakuwa poa tu, kisa wamezoea ufukara?
 
Tunaizungumzia Japan tukiwa huku Tandahimba umeme toka jana umekatika sijui utarudi lini mambo zingine ni kupata Exposure ya baadhi ya Nchi ili tuone uhalisia wa tunachokiandika ..
Kwahiyo hiyo video ni fake sio?
 
Unataka train ziwe kama mabasi ?
Mimi nimeona tu nchi tajiri inashindilia rumbesa watu wake kwenye treni kama maharage ya Soya, nikashangaa kiwango hiki kikubwa cha ufukara kwa matajiri. Ni hicho tu.., nimeshangaa tu.., ufukara hauna limits kumbe..
 
Kwahiyo unataka kutumia hiyo clip na msongamano wa mwendokasi Dar kulinganisha uchumi wa Japan na Tanzania?
Hapana, nasema tu kuna tofauti kati ya kuwa ‘Rich’ na ‘Wealthy’. Hawa ni Rich, lakini sio wealthy, wanaishi poor, katika Ufukara wa kutisha. Hata Mwendokasi haina ufukara wa kiwango hiki.
 
Ni kama tunavyoambiwa Tanzania ni masikini wakati kuna Kila aina ya raslimali (nukta.).
 
Mkuu changa changa naamini unaweza kwenda huko Japan,Singapore au Hong Kong harafu uje unandike hizi mambo zako hapa...
Mbona hoja ipo wazi, mi naona jikite kwenye mada, mambo ya kujichanga ni mengine.., tudeal na hoja yetu tu
 
Hapana, nasema tu kuna tofauti kati ya kuwa ‘Rich’ na ‘Wealthy’. Hawa ni Rich, lakini sio wealthy, wanaishi poor, katika Ufukara wa kutisha. Hata Mwendokasi haina ufukara wa kiwango hiki.

Lakini kichwa Cha habari kimehusisha ukubwa wa uchumi wa Japan na hii clip.
 
Ndio, nchi tajiri halafu wanaishi katika ufukara wa kutisha., hata wabongo tu wenyewe, wale wa Mbagala kabisa waliozoea kuingia madirishani, hawawezi kuvumilia ufukara wa kutisha unoonekana hapo, tena tunaambiwa ni kawaida hiyo kwao...,wamezoea, tajiri anawezaje kuzoea shida kali hivyo?!

A72A7A34-F3E8-4288-B4DE-4F46C00E7670.jpeg
 
Back
Top Bottom