begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
japani wako vizuri mkuu ,hapo wanalundikana kwenye treni ili kufaidi kudungana tu,au unazani dunga dunga wapo bongo tu 🙂 joking, but some time may be true.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
Kwahiyo ni matajiri waliozoea maisha ya kifukara. Maana ni kawaida kwao. Sawa.Mleta mada kakazia sana neno umaskini kisa kulundikana kwenye treni. Usilojua hiyo hali ni kawaida kwa japan na s. Korea . Watu wanawahi makazini hasa wale wanaofanya kazi kwenye mega factories. Unakuta kiwanda kina wafanyakazi hata 30000 na wanalipwa vizuri ku afford kununua private car. Lakini wananchi wanakuwa encouraged kutumia public transport for the sake of controlling env. Pollution. Af pia kijiografia japan ni ndogo .Hata ukiwa na gari utaendesha wapi? Maana jiji liko full al the time. Nchi zenye uchumi mkubwa , raia wake kutumia public transport kwao sio tatizo , ila huku tunaona big deal
Kwahiyo hiyo video ni fake sio?Tunaizungumzia Japan tukiwa huku Tandahimba umeme toka jana umekatika sijui utarudi lini mambo zingine ni kupata Exposure ya baadhi ya Nchi ili tuone uhalisia wa tunachokiandika ..
Mimi nimeona tu nchi tajiri inashindilia rumbesa watu wake kwenye treni kama maharage ya Soya, nikashangaa kiwango hiki kikubwa cha ufukara kwa matajiri. Ni hicho tu.., nimeshangaa tu.., ufukara hauna limits kumbe..Unataka train ziwe kama mabasi ?
Mwendokasi za Dar huwa tunajali muda au ni ufukara ndio unasababisha kujazana kama panya?
Mkuu changa changa naamini unaweza kwenda huko Japan,Singapore au Hong Kong harafu uje unandike hizi mambo zako hapa...Kwahiyo hiyo video ni fake sio?
Hapana, nasema tu kuna tofauti kati ya kuwa ‘Rich’ na ‘Wealthy’. Hawa ni Rich, lakini sio wealthy, wanaishi poor, katika Ufukara wa kutisha. Hata Mwendokasi haina ufukara wa kiwango hiki.Kwahiyo unataka kutumia hiyo clip na msongamano wa mwendokasi Dar kulinganisha uchumi wa Japan na Tanzania?
Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
Ipo hivyo duniani kote, shida ni tajiri kuishi katika lindi la ufukara, kuna kitu hakipo sawa mahali.Watu ni wengi na muda mchache
Mbona hoja ipo wazi, mi naona jikite kwenye mada, mambo ya kujichanga ni mengine.., tudeal na hoja yetu tuMkuu changa changa naamini unaweza kwenda huko Japan,Singapore au Hong Kong harafu uje unandike hizi mambo zako hapa...
Hapana, nasema tu kuna tofauti kati ya kuwa ‘Rich’ na ‘Wealthy’. Hawa ni Rich, lakini sio wealthy, wanaishi poor, katika Ufukara wa kutisha. Hata Mwendokasi haina ufukara wa kiwango hiki.
Exactly!!, hoja iko hapa!Ni kama tunavyoambiwa Tanzania ni masikini wakati kuna Kila aina ya raslimali (nukta.).
Ndio, nchi tajiri halafu wanaishi katika ufukara wa kutisha., hata wabongo tu wenyewe, wale wa Mbagala kabisa waliozoea kuingia madirishani, hawawezi kuvumilia ufukara wa kutisha unoonekana hapo, tena tunaambiwa ni kawaida hiyo kwao...,wamezoea, tajiri anawezaje kuzoea shida kali hivyo?!Lakini kichwa Cha habari kimehusisha ukubwa wa uchumi wa Japan na hii clip.