Je, ni kwanini Ugonjwa wa Kansa, Figo, Ini unaonekana kuwa ni tatizo Tanzania ?

Visungura +zile pombe anazozalisha yule bilionea

Ova
Unakuta kijana kachanganya hizi pombe za bei rahisi kwenye vinywaji vyenye caffeine, anavuta sigara, anakula mirungi na wakati mwingine anachanganya paracetamol kwenye energy drink ili akamkomoe mwanamke, unadhani vitu vya ndani ya mwili vitapona kweli?🤣🤣

Sio wakati wote tunatakiwa kuilaumu serikali
 
Shida wabongo wengi tuna tabia ya kutumia dawa hovyo yaani unakuta mtu akipata homa anaenda pharmacy kuchukua amoxycilin na wengi hawana tabia ya kumaliza dozi hivyo hii inaweza kupelekea matatizo ya Figo na ini.
 
Kuna mataifa ya kigeni yanashirikiana na baadjhi ya watanzania wenzetu ku depopulate population yetu na baadhi ya mbinu ni
  1. Kuingiza vyakula na madawa visivyokuwa na viwango stahiki vya kutumiwa na binadamu
  2. Kuharibu mazingira kwa makusudi kabisa
  3. Kutotoa huduma sahihi za afya
  4. Kuingiza nchini vifaa mbalimbali visivyokidhi viwango na kusababisha ajali na maafa
 
Homa ya Ini, Uraji wa Pombe kupita kiasi.

Vijana hawataelewa mpaka baada ya miaka 10- 15 ijayo wakivimba matumbo.

Kuna energy drinks ndio balaa
 
1. Vyakula vinavyouzwa mtaani hawana idea
na expiry dates
2. Hawa kuku wa mayai sometimes wanapewa
Madawa ambayo utayakuta ndani
3. Hizi carbonated drinks za azam na Mo ni kitanzi kikubwa cha maisha ya watanzania.
4. Mafuta yanayotumiwa over and over kukaanga chips
5 ni kama hakuna prescription practice nchini .

Above all no one cares mamlaka ziko busy na kusifu
 
Sawa soon
L
not the only cause
 
Mamlaka zipo wapi

Tunarudi pale pale
 
TBS ni shirika la ccm sasa. Kuna idara kuwa uhuru sio kuwa TBS niulize kwa nini?
 
Haya magonjwa mengi tuliyasikia kutoka nje, sasa yako kwetu, tumeacha maisha yetu ya asili. Maana yake tunatumia vyakula,madawa,pombe na vinywaji vingine toka nje ambavyo ubora wake hauthibitiwi.
Wao wanakula vyema ubora na mamlaka zao zipo strict

Pale mbezi na KKo kuna wachina wanazalisha maji ya Kilimanjaro, Azam na Uhai fake thenwanayaingiza kwa mzunguko
Jamaa wamepanga zao apartment tu kila kitu wanamaliza humo

Nchi ya wajinga
 
Nchini Marekani, kuna mashirika ya viwango vya binafsi na vya serikali yanayosimamia ubora na usalama wa bidhaa. Mashirika haya hutoa miongozo, viwango, na udhibiti wa bidhaa ili kuhakikisha usalama wa walaji na kufuata kanuni za kibiashara.

Mashirika ya Serikali

  1. Food and Drug Administration (FDA) – Inasimamia ubora na usalama wa chakula, dawa, vifaa vya matibabu, vipodozi, na bidhaa za tumbaku.
  2. United States Department of Agriculture (USDA) – Inasimamia viwango vya usalama wa chakula, hasa bidhaa za mifugo, kuku, na mazao ya kilimo.
  3. Consumer Product Safety Commission (CPSC) – Inahakikisha bidhaa za walaji kama vifaa vya nyumbani, michezo, na mavazi zinakidhi viwango vya usalama.
  4. Environmental Protection Agency (EPA) – Inasimamia viwango vya usalama wa mazingira, ikiwa ni pamoja na kemikali na bidhaa zinazoweza kuwa na madhara kwa mazingira.
  5. Occupational Safety and Health Administration (OSHA) – Inahakikisha viwango vya usalama mahali pa kazi na bidhaa zinazotumiwa katika mazingira ya kazi.
  6. National Highway Traffic Safety Administration (NHTSA) – Inasimamia usalama wa magari na vipuri vyake.

Mashirika ya Viwango vya Binafsi

  1. American National Standards Institute (ANSI) – Inaratibu na kuidhinisha viwango vya ubora na usalama katika sekta mbalimbali.
  2. Underwriters Laboratories (UL) – Inafanya majaribio ya usalama wa bidhaa za kielektroniki, vifaa vya moto, na bidhaa za viwandani.
  3. National Fire Protection Association (NFPA) – Inatoa viwango vya usalama wa moto na kuzuia majanga yanayohusiana na moto.
  4. ASTM International – Inatengeneza viwango vya kimataifa kwa bidhaa, nyenzo, mifumo, na huduma mbalimbali.
  5. Society of Automotive Engineers (SAE) – Inatoa viwango kwa sekta ya magari, anga, na viwanda vinavyohusiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…