Ni kweli kabisa, huku uswahilini vijana wanateketea kwa vinywaji vya energy mixer visunguraUnakuta kijana kachanganya hizi pombe za bei rahisi kwenye vinywaji vyenye caffeine, anavuta sigara, anakula mirungi na wakati mwingine anachanganya paracetamol kwenye energy drink ili akamkomoe mwanamke, unadhani vitu vya ndani ya mwili vitapona kweli?🤣🤣
Sio wakati wote tunatakiwa kuilaumu serikali
Nakubaliana na weweNakusalimia doctor mushi, niingie moja kwa moja kwenye mada...ntatolea mfano mbunge msukuma kwenye interview yake moja aliwai nukuliwa akisema AMEWAI KUBADILISHA MIFUKO KWENYE UNGA WA NGANO ULIO EXPIRE NA AKAUUZA TENAA..
Nenda kwenye madawa ya binadamu watu wanafuta expire date na kuzibadilisha hii ipo Sanaa...pia nenda kwenye mafuta ya kula, nenda kwenye vipodozi, vinywaji ni balaa tupu
Watu wakipato cha chini wengi wanakufa kimya kimya bila kupata matibabu , ndio maana hauwaoni.Inawezekana ikawa kweli kuhusu hizo Pombe za bei rahisi lkn wagonjwa wa figo asilimia kubwa ni watu wakipato cha kati na visungura ni kilevi cha watu wa kipato cha chini.
Kwanza nianze kwa kukupa pole kama kweli uko WHO maana Trump kawafanya kitu mbaya, kwa uelewa wangu mdogo kuna mambo kadha wa kadha yakiwemo hayo uliyotaja lakini kama wewe kweli ni mtaalam wa afya kama ulivyojinasibu mnatakiwa nyie ndio mje na utafiti wa kina kwa chanzo hasa cha kuongezeka kwa magonjwa haya, mfano kuna wakati huko kanda ya ziwa Tanzania wakahusisha kansa na konokono wa ziwani, wengine wakahusisha na madawa ya Pamba na Kahawa etc, kimsingi liko kwenye mitazamo mingi tofauti ikiwemo ya mitindo ya maisha na kadhalika vyakula na vinywaji sindikwa, sasa tuwatake nyie mnaokula fedha za WHO mje na majibu sahihi na dhahiri yasiyo ya kufikirika ya chanzo hasa cha magonjwa hao kuongezeka kwasababu sasahivi sio matajiri sio masikini wala si mijini sio vijijii tatizo ni kubwa mno.Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.
Je, tatizo ni nini ?
Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .
Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.
Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.
Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.
Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?
Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.
GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.
Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !
Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.
Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.
Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa
Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Nakazia hoja. Wenye busara walisema "Mwili wako ni kile unachokula".Life style
Uliyoandika ni sahihi kabisa lakini tatizo linachangizwa pia na maisha ya mtu mwenyewe.
Fikiria energy za Azam zimeandikwa usinywe zaidi ya ml500 ndani ya saa 24 lakini unakuta mtu ameshakunywa zaidi ya lita kwa nusu siku, hapo maini na figo vitahimili kweli?
Da!!! tatizo ni RUSHWA!!Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.
Je, tatizo ni nini ?
Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .
Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.
Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.
Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.
Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?
Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.
GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.
Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !
Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.
Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.
Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa
Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Mkuu kvat ,nyagi feki Zina label za TBS na TRA, apo unasemaje ?Mkuu kwani mtu analazimishwa kula hizo junk foods?
Halafu sijawahi ona tikiti halina mbegu labda kama ununue yaliyokuwa processed viwandani. Na pia kwenye issue za wine kama hujaona nembo ya tbs kwenye vinywaji achana navyo.
Kwahiyo mkuu kula junk foods, processed fruits na vinywaji ambavyo havijathibitishwa na tbs zote hizi ni lifestyle ya mtu kwani hakuna anayelazimishwa kunywa pombe au kula junk foods.
Hizo mtu inabidi anywe kistaarabu.Mkuu kvat ,nyagi feki Zina label za TBS na TRA, apo unasemaje ?
Umesema vizuri sana lakini Mi nakushauri wakati tunasubiri hao Wataalam wafanye utafiti wa kina halafu waje na Concrete Findings..... etc; mwtu binafsi tuanze kuchukua hatua za Tahadhari na kujilinda e.g. :Kwanza nianze kwa kukupa pole kama kweli uko WHO maana Trump kawafanya kitu mbaya, kwa uelewa wangu mdogo kuna mambo kadha wa kadha yakiwemo hayo uliyotaja lakini kama wewe kweli ni mtaalam wa afya kama ulivyojinasibu mnatakiwa nyie ndio mje na utafiti wa kina kwa chanzo hasa cha kuongezeka kwa magonjwa haya, mfano kuna wakati huko kanda ya ziwa Tanzania wakahusisha kansa na konokono wa ziwani, wengine wakahusisha na madawa ya Pamba na Kahawa etc, kimsingi liko kwenye mitazamo mingi tofauti ikiwemo ya mitindo ya maisha na kadhalika vyakula na vinywaji sindikwa, sasa tuwatake nyie mnaokula fedha za WHO mje na majibu sahihi na dhahiri yasiyo ya kufikirika ya chanzo hasa cha magonjwa hao kuongezeka kwasababu sasahivi sio matajiri sio masikini wala si mijini sio vijijii tatizo ni kubwa mno.
Nanukuu: "Bila kuchukua hatua sekta ya afya itaelemewa kabisa na gharama za kutibu hayo magonjwa ya ini, figo cancer na kisukari"Pombe fake ndiyo zinawatesa sana vijana. Ukichanganya na hizi energy drinks ndiyo balaa kabisa.
Vijana wanakunywa tu kama vile ni maziwa fresh. Bila kuchukua hatua sekta ya afya itaelemewa kabisa na gharama za kutibu hayo magonjwa ya ini, figo cancer na kisukari
Ni kweli na ni Ajabu. "Chujio" letu linachuja mbu lakini Tembo wanapita.Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame!!!✊✊Salamu Nyingi Hapo Otawa,,Canada Dokta
Naked truth, food security ni kila kitu kwa afya ya TaifaMpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.
Je, tatizo ni nini ?
Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .
Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.
Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.
Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.
Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?
Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.
GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.
Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !
Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.
Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.
Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa
Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Hapo kwenye suppliments.... Dooohhh... Watu wanazinywa na kuna ambazo ni synthetically manufactured ... Zote zinatangazwa kwa lugha ya kibiashara ... Organic suppliments... Hazina chemicals... Unasikilizaaaa unajiuliza huyu anaelewa kweli anachoongea na anachouza??Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame!!!✊✊Salamu Nyingi Hapo Otawa,,Canada Dokta
💥💥😍😍Hapo kwenye suppliments.... Dooohhh... Watu wanazinywa na kuna ambao ni synthetically manufactured ... Zote zinatangazwa kwa lugha ya kibiashara ... Organic suppliments... Hazina chemicals... Unasikilizaaaa unajiuliza huyu anaelewa kweli anachoongea na anachouza?? Hali ni mbayaaaaaa