Je, ni kwanini Ugonjwa wa Kansa, Figo, Ini unaonekana kuwa ni tatizo Tanzania ?

Unakuta kijana kachanganya hizi pombe za bei rahisi kwenye vinywaji vyenye caffeine, anavuta sigara, anakula mirungi na wakati mwingine anachanganya paracetamol kwenye energy drink ili akamkomoe mwanamke, unadhani vitu vya ndani ya mwili vitapona kweli?🤣🤣

Sio wakati wote tunatakiwa kuilaumu serikali
Ni kweli kabisa, huku uswahilini vijana wanateketea kwa vinywaji vya energy mixer visungura
 
Nakusalimia doctor mushi, niingie moja kwa moja kwenye mada...ntatolea mfano mbunge msukuma kwenye interview yake moja aliwai nukuliwa akisema AMEWAI KUBADILISHA MIFUKO KWENYE UNGA WA NGANO ULIO EXPIRE NA AKAUUZA TENAA..

Nenda kwenye madawa ya binadamu watu wanafuta expire date na kuzibadilisha hii ipo Sanaa...pia nenda kwenye mafuta ya kula, nenda kwenye vipodozi, vinywaji ni balaa tupu
Nakubaliana na wewe

Products nyingi za supermaket ni expired. Wanachange date, sometimes wanagonga na mihuri. Well, as you know waafrica sio waaminifu… na hii inaanzia kwa viongozi wao wa Juu.

Hili eneo government kupitia mamlaka za udhibiti need counterintelligence to protect the country or else kila nyumba itafikiwa
 
Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.

Je, tatizo ni nini ?

Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .

Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.

Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.

Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.

Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?

Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.

GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.

Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !

Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !

Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.

Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.

Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa

Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Kwanza nianze kwa kukupa pole kama kweli uko WHO maana Trump kawafanya kitu mbaya, kwa uelewa wangu mdogo kuna mambo kadha wa kadha yakiwemo hayo uliyotaja lakini kama wewe kweli ni mtaalam wa afya kama ulivyojinasibu mnatakiwa nyie ndio mje na utafiti wa kina kwa chanzo hasa cha kuongezeka kwa magonjwa haya, mfano kuna wakati huko kanda ya ziwa Tanzania wakahusisha kansa na konokono wa ziwani, wengine wakahusisha na madawa ya Pamba na Kahawa etc, kimsingi liko kwenye mitazamo mingi tofauti ikiwemo ya mitindo ya maisha na kadhalika vyakula na vinywaji sindikwa, sasa tuwatake nyie mnaokula fedha za WHO mje na majibu sahihi na dhahiri yasiyo ya kufikirika ya chanzo hasa cha magonjwa hao kuongezeka kwasababu sasahivi sio matajiri sio masikini wala si mijini sio vijijii tatizo ni kubwa mno.
 
Life style

Uliyoandika ni sahihi kabisa lakini tatizo linachangizwa pia na maisha ya mtu mwenyewe.
Fikiria energy za Azam zimeandikwa usinywe zaidi ya ml500 ndani ya saa 24 lakini unakuta mtu ameshakunywa zaidi ya lita kwa nusu siku, hapo maini na figo vitahimili kweli?
Nakazia hoja. Wenye busara walisema "Mwili wako ni kile unachokula".
Sasa kama mtu anafahamu ni kitu gani anachoenda kukila na ni sumu kwake au kitaidhuru afya yake lakini bado anang'ang'ania kukila; huwezi kumzuia hata ukitumia kombora la oreshnick ballistick missile.
Cha kufanya ni sisi sote Wadau kuendeleza juhudi za kutoa elimu ya Awaerness creation halafu huko kwingine mbele (thereafter)anaachiwa mtu binafsi aamue afanye lipi.
1. Kwa nini Vinywaji vya viwandani bado watu wanajua sio poa lakini bado wanaacha maembe, malimao, machungwa... hapo shambani au kutoka mashamani wanajinunulia hayo ya viwandani?
2. Mama amembeba mtoto na mtoto analia njaa halafu mama anampa embe juice badala ya ziwa lake mwenyewe.
Kwa kifupi sana TUNATAKIWA TUCHUNGE SANA, TUWE MAKINI SANA KUHUSU KILE KINACHOPITA MDOMONI KWETU KUELEKEA TUMBONI.
 
Pombe fake ndiyo zinawatesa sana vijana. Ukichanganya na hizi energy drinks ndiyo balaa kabisa.

Vijana wanakunywa tu kama vile ni maziwa fresh. Bila kuchukua hatua sekta ya afya itaelemewa kabisa na gharama za kutibu hayo magonjwa ya ini, figo cancer na kisukari
 
Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.

Je, tatizo ni nini ?

Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .

Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.

Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.

Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.

Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?

Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.

GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.

Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !

Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !

Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.

Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.

Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa

Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Da!!! tatizo ni RUSHWA!!
 
Mkuu kwani mtu analazimishwa kula hizo junk foods?
Halafu sijawahi ona tikiti halina mbegu labda kama ununue yaliyokuwa processed viwandani. Na pia kwenye issue za wine kama hujaona nembo ya tbs kwenye vinywaji achana navyo.
Kwahiyo mkuu kula junk foods, processed fruits na vinywaji ambavyo havijathibitishwa na tbs zote hizi ni lifestyle ya mtu kwani hakuna anayelazimishwa kunywa pombe au kula junk foods.
Mkuu kvat ,nyagi feki Zina label za TBS na TRA, apo unasemaje ?
 
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame!!!✊✊Salamu Nyingi Hapo Otawa,,Canada Dokta
 
Kwanza nianze kwa kukupa pole kama kweli uko WHO maana Trump kawafanya kitu mbaya, kwa uelewa wangu mdogo kuna mambo kadha wa kadha yakiwemo hayo uliyotaja lakini kama wewe kweli ni mtaalam wa afya kama ulivyojinasibu mnatakiwa nyie ndio mje na utafiti wa kina kwa chanzo hasa cha kuongezeka kwa magonjwa haya, mfano kuna wakati huko kanda ya ziwa Tanzania wakahusisha kansa na konokono wa ziwani, wengine wakahusisha na madawa ya Pamba na Kahawa etc, kimsingi liko kwenye mitazamo mingi tofauti ikiwemo ya mitindo ya maisha na kadhalika vyakula na vinywaji sindikwa, sasa tuwatake nyie mnaokula fedha za WHO mje na majibu sahihi na dhahiri yasiyo ya kufikirika ya chanzo hasa cha magonjwa hao kuongezeka kwasababu sasahivi sio matajiri sio masikini wala si mijini sio vijijii tatizo ni kubwa mno.
Umesema vizuri sana lakini Mi nakushauri wakati tunasubiri hao Wataalam wafanye utafiti wa kina halafu waje na Concrete Findings..... etc; mwtu binafsi tuanze kuchukua hatua za Tahadhari na kujilinda e.g. :
1. Jitahidi kadri uwezavyo kula vitu vya asili(Natural au Organic) havijazalishwa kwa kutumia madawa ya viwandani (najua ni ngumu sana lakini kwa uhakika inawezekana kabisa.) For more details naomba uniulize.
2. Jitahidi sana kadri uwezavyo kutumia madawa mbadala ya miti/mimea ya huko mashambani pale unapougua (sijasema usiende Hospitali). Najua ni ngumu sana tena mno lakini tatizo kubwa zaidi limejikita kwenye akili (mindset) na mitizamo (perception)yetu ya uelewa juu ya magonjwa e.g. Umeumwa na kichwa baada ya kufanya kazi juani, badala ya kutafuna kipande cha Tumeric; unakimbilia kununua panodol au Paracetamol hapo famasi iliyo karibu na sokoni panapouzwa tumeric(manjano/binzari)au unajilipua kwa Energy.
3. Tusifanye mambo kwa mazoea (business as usual) au kuiga-iga vitu hovyo bila kuwa na tahadhari ya matokeo yake au ni nini malengo ya hicho unachadhani ni vizuri kukiiga. e.g. Vijana (Me)wanaiga kuvaa suruali mlegezo na tena iliyochanwa-chanwa magoti na mapaja halafu ikawekewa viraka! Je wanafahamu aliyeanza kuvaa hivyo ilikuwaje au alilenga Kutangaza nini? Wao vijana wanadhani ni Fashion - kumbe wameingia cha kike.
4. Wazazi na Walezi wa watoto, chonde-chonde tujiepushe na mazoea ya kuwabembeleza watoto wetu kwa kutumia simu eti ataangalia game na ataacha kulia. Poleni sana wazazi na walezi wenzangu. Simu hizi Tunazosema simu kubwa au Digital au simu Janja zinatoa miale mikali inayoweza kusababisha kansa au uharibifu wa akili au uharibifu wa Ubongo au uharibifu wa masikio na macho au viungo vingine mwilini na ni mbaya zaidi kwa watoto kwani bado ni wachanga hawajakomaa kiasi cha kuweza kuhimili vishindo vya hiyo miale. Kwa bahati MBAYA SANA matokeo hutayaona leo wala kesho ni baada ya miezi 6+ au hata mwaka na utakuwa umeshasahau ni nini ulimfanyia mwanao utotoni. Ila utakimbilia Hospitali na pale utaanza kutoa pesa n.k. n.k......kitu (ugonjwa)ambacho ulikuwa na uwezo wa kukidhibiti zamani lakini ulichagua eti ww uonekane wa kisasa zaidi.
Nanaomba muendelee kuchangia ...............
 
Pombe fake ndiyo zinawatesa sana vijana. Ukichanganya na hizi energy drinks ndiyo balaa kabisa.

Vijana wanakunywa tu kama vile ni maziwa fresh. Bila kuchukua hatua sekta ya afya itaelemewa kabisa na gharama za kutibu hayo magonjwa ya ini, figo cancer na kisukari
Nanukuu: "Bila kuchukua hatua sekta ya afya itaelemewa kabisa na gharama za kutibu hayo magonjwa ya ini, figo cancer na kisukari"
Mkuu; naongezea: pressure ya damu na pressure ya macho, moyo kutanuka, ongezeko la matatizo ya akili, kiharusi n.k. n.k.
Sekta ya Elimu nayo haitakuwa salama kwani kutakuwa na ongezeko la watoto "taahira-sio-taahira" i.e. mtoto yupo-yupo tu bora amefika shuleni lakini hakuna anachojifunza ni kucheza-cheza tuu mwanzo mwisho na haelekezwi akazingatia. Wototo wanabugia juice cola kavu-kavu. Je, figo na maini vitasalimika kweli? Mwalimu akimshikia bango anakwenda kumsemea kwa mzazi/mlezi na mlezi badala ya kukazia hoja ya mwl. anajifunga kibwebwe kuja kupambana na mwl. kwa kutoa kashfa na maneno mengi......
 
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame!!!✊✊Salamu Nyingi Hapo Otawa,,Canada Dokta
Ni kweli na ni Ajabu. "Chujio" letu linachuja mbu lakini Tembo wanapita.
Kwa hesabu tu za mezani; e.g. wavuta bagi hapa Tz hawafikii hata 0.01% ya watanzania mil. 65+ lakini watanzania WOTE mil 65+ wanaachwa wale (Eat =Kula) vitu fake i.e. sio neno kwa Serikali na ni kama kusema "haituhusu" wakidhurika- watajiujua wenyewe. Tunatumia nguvu nyingi (fedha za walipoa kodi) kukimbizana na wavuta bangi wachache na kung'oa vijishamba vya bangi vichache ikiwa ni pamoja na kujipiga selfie kwenye matukio zinapokamatwa nyara za serikali. e.g. kg 12 za nyama pori na hukumu ya 22 yrs.
 
Hali ni tete waungwana wenzangu🥲
 
Attachments

  • Screenshot_20250314-180903.jpg
    Screenshot_20250314-180903.jpg
    299.9 KB · Views: 1
Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.

Je, tatizo ni nini ?

Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .

Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.

Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.

Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.

Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?

Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.

GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.

Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !

Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !

Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.

Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.

Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa

Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Naked truth, food security ni kila kitu kwa afya ya Taifa
 
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame!!!✊✊Salamu Nyingi Hapo Otawa,,Canada Dokta
Hapo kwenye suppliments.... Dooohhh... Watu wanazinywa na kuna ambazo ni synthetically manufactured ... Zote zinatangazwa kwa lugha ya kibiashara ... Organic suppliments... Hazina chemicals... Unasikilizaaaa unajiuliza huyu anaelewa kweli anachoongea na anachouza??

Hali ni mbayaaaaaa..... Mamlaka ziangalie upya haya mambo...
 
Hapo kwenye suppliments.... Dooohhh... Watu wanazinywa na kuna ambao ni synthetically manufactured ... Zote zinatangazwa kwa lugha ya kibiashara ... Organic suppliments... Hazina chemicals... Unasikilizaaaa unajiuliza huyu anaelewa kweli anachoongea na anachouza?? Hali ni mbayaaaaaa
💥💥😍😍
 
Back
Top Bottom