Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

1)walianza mambo ya women empowerment kutetea haki za usawa wa kijinsia ,kuwawezesha wanawake ,feminism..mfumo JIKE .matokeo yake tumeyaona.
2)sasa wapo wameingia ten na huku kutetea haki za watoto wasichapwe walelewe KILELEMAMA kimayai mayai...matokeo yake tutayapata soon or later.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Back
Top Bottom