Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi

Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini Tanzania, Jesse Kwayu, Absalom Kibanda, Dennis Msaki na Neville Meena.

Kwenye mjadala huo, Bunge letu tukufu, limeelezwa kuwa ni Bunge dhaifu, na Bunge kibogoyo!. Hoja hiyo imetolewa na Mwanahabari ghuli, Jenerali Ulimwengu katika mjadala huu,
Na kwa vile mjadala huu ulikuwa live online, unaweza kuufuatilia hapa

Natumaini unaweza kumsikia wewe mwenyewe, kwanini Jenerali Ulimwengu ameliita hivi hili Bunge letu tukufu kuwa ni dhaifu na kibogoyo, swali langu ninalo uliza hapa ni Je ni kweli Bunge letu ni dhaifu na Bunge kibogoyo?. Hoja za Jenerali Ulimwengu zina ukweli wowote?.

Jenerali Ulimwengu alimalizia kwa kumpongeza Rais Samia kwa mambo mazuri anayoyafanya na kusisitiza, Rais Samia akifanya vizuri tumpogeze, akikosea tumkosoe, ila pia amempa angalizo Rais Samia, akemee wanaojiita chawa wa Mama, haipendezi Rais Wetu kuwa na chawa!.

Paskali
Rejea
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

- Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?

- Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?

- Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?
 
Wanabodi

Niko hapa Serena, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai. Bunge letu tukufu, limeelezwa ni Bunge dhaifu, na pia ni Bunge kibogoyo!. Hoja hiyo imetolewa na Mwanahabari ghuli, Jenerali Ulimwengu katika mjadala huu, swali langu ni Je ni kweli Bunge letu ni dhaifu?. Je ni kweli Bunge letu ni Bunge kibogoyo?.

Kwa vile mjadala huu uko live online, nakutafutia video ili uweze kumsikia, kwanini Jenerali Ulimwengu ameliita hivi Bunge letu?

Paskali
nipe link Mzee pascal
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Kwa hivyo ni vyema kuhakikisha URAIS hauendi kwao? Hii ya wasasa ilikuwa bahati tu sijui wafanyaje wenyewe, ila uko nje ya mada jamaa pascal anazungumzia Bunge wewe unataja URAIS na ukatonta wako webu jielewe basi
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
waislamu ni dhaifu iko hivyo yani mambo yao ni mdembwedo tu bora liende ndio mana awamu zao zinakuwa hazieleweki
 
Wanabodi

Niko hapa Serena, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai. Bunge letu tukufu, limeelezwa ni Bunge dhaifu, na pia ni Bunge kibogoyo!. Hoja hiyo imetolewa na Mwanahabari ghuli, Jenerali Ulimwengu katika mjadala huu, swali langu ni Je ni kweli Bunge letu ni dhaifu?. Je ni kweli Bunge letu ni Bunge kibogoyo?.

Kwa vile mjadala huu uko live online, nakutafutia video ili uweze kumsikia, kwanini Jenerali Ulimwengu ameliita hivi Bunge letu?

Paskali
Unategemea vipi kuwa na Bunge Imara hali ya kuwa mchakato wa kuwapata wawakilishi ni dhaifu? Dhulma imetawala, haya ni matokeo tu, huku ni sawa na kumsimanga mgonjwa
 
Yes hii sio rocket science, bunge la ccm ni kibogoyo, former president Magufuli aliweza to silence bunge zima,mtu mmoja anawafanya wabunge zaidi ya 250 kufwiata mikia yao
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Mkuingiza dini hamta shinda vita za kidini pambania hoja za bandari muache dini, hi nchi itagawanyika vipande, waislamu kuka kimya sio kwamba hawaoni kampaini inayo pitishwa makanisani.
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Ubaya wa viongozi wetu, usihusishwe na dini yake!

Tunakemea madhaifu katika kuongoza nchi, Dini yake ipewe maua

Hakuna uhusiano kati ya dini ya mtu na kuwa kiongozi wa hovyo!

Udhaifu wa kibinadamu ukemewe tuu

Hata hivyo naungana na wewe kuendelea kupinga ubinafisishaji wa Bandari zetu nchini Tanganiyika
 
Back
Top Bottom