Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

Je, liwe dhaifu mara ngapi??????
 
Sio kitu ya kuuliza mara mbili!!
 

Duuuh La General anaitwa soon na 2CRY.
 
Mkuingiza dini hamta shinda vita za kidini pambania hoja za bandari muache dini, hi nchi itagawanyika vipande, waislamu kuka kimya sio kwamba hawaoni kampaini inayo pitishwa makanisani.
Mbona Israel wameingiza dini na wameshinda?
 
Mnadhani hii ni nchi yenu peke yenu. Akiingia raisi muislamu choko choko haziishi.
Badilikeni
Mwaka 2010 raisi kikwete alipata shida kuchaguliwa mhula wa pili kwasbb ya tuhuma na kampaini ambazo ziliendeshwa na kanisa katoliki, wote walitaka dr slaa apite ila walishindwa na mara hi tena mtashindwa tena.
 
Kulwa jilala nakukemea roho chafu ya udini na ukabila ikutoke!!!
 
Even Prof. Assad was right ✔️
 
Bunge la hovyo kuwahi kutokea duniani
 
Ila JPM alituona fala sana yaan tunatumia mabilioni ya uchaguzi kumbe kajifungia chumbani na wahuni wachache wanaamua nani awe mbunge na nani awe diwani. Kwa ambayo Huwa mnamsifu hebu oneni aibu jmn
 
HAKUNA BUNGE kuna Wajumbe wa CCM ndani ya Majengo ya BUNGE huwezi kuwa na Bunge linalitumia Akili sheria kanuni na utaratibu za Chama
 
Bunge sehemu ya kuhoji serikali wanafanya kazi za mawaziri? Siku ile mawaziri walifanya kazi gani? Walihojiwa nini kuhusu mkataba wa bandari zaidi ya hotuba za kimkakati na mipasho?

Lazima tuwe na bunge tutaloliamini linaweza kuhoji serikali sio kutwa kuisifu serikali.
 
CCM ndio Dhaifu sana. DP world wapewe CCM waiendeshe kwa manufaa ya wanaccm wenyewe ila sio bandari zetu
Mkuu Akasankara , tujifunze kujadili hoja iliyopo mezani, kwa kujifunza kutenganisha CCM na Bunge, letu au CCM na serikali yetu, hata kama serikali ni serikali ya CCM na Bunge ni Bunge la CCM predominantly.

Japo CCM ndicho chama tawala, kinachoendesha serikali, CCM sio serikali!.
Japo CCM ndio chama tawala kinacholimiliki Bunge letu kwa kuwa na wabunge wengi, lakini CCM sio Bunge!.

Hapa tumelizungumzia Bunge letu Tukufu, hatuzungumzii CCM!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…