Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

Unatetea CCM chama Cha ufisadi? Uko tayari kuitetea CCM kuliko nchi? Hilo bunge ni la chama kimoja tu ccm
 
hivi tz kuna bunge?....tuanzie hapo
Mkuu Utingo , huku kuuliza kama tuna Bunge ni kuuliza gani wakati ni ukweli tuna Bunge?, lipo, tunaliona, linakutana, unapouliza kama tuna Bunge, unamaanisha nini?
P
 
Waliosaini huo mkataba ni makada wa CCM tu tena wenye kadi halali kabisa za CCM.
 
Unatetea CCM chama Cha ufisadi? Uko tayari kuitetea CCM kuliko nchi? Hilo bunge ni la chama kimoja tu ccm
Huu mjadala ni kuhusu Bunge, CCM unailetaje?. Tujifunze kutofautisha CCM na Bunge, kama una hoja kuhusu CCM, ifungulie thread yake, hapa tunajadili Bunge la JMT na sio CCM!.
P
 
Waliosaini huo mkataba ni makada wa CCM tu tena wenye kadi halali kabisa za CCM.
Sawa waliosaini huo mkataba wanaweza kuwa wote ni wana CCM kweli, lakini huo mkataba sio mkataba wa CCM ni mkataba wa nchi!. Jifunze kutenganisha CCM, serikali na Bunge!.
p
 
Huu mjadala ni kuhusu Bunge, CCM unailetaje?. Tujifunze kutofautisha CCM na Bunge, kama una hoja kuhusu CCM, ifungulie thread yake, hapa tunajadili Bunge la JMT.
P
Unatofautishaje bunge na CCM? Bunge la chama cha mapinduzi tu. Mule ndani ni makada TUPU wa CCM ndio waliopitisha mkataba wa hovyo hata shetani anashangaa
 
Kwenye mjadala huo, Bunge letu tukufu, limeelezwa kuwa ni Bunge dhaifu, na Bunge kibogoyo!. Hoja hiyo imetolewa na Mwanahabari ghuli, Jenerali Ulimwengu katika mjadala huu,
Ni dhaifu kweli, wanawezaje kujadili mkataba uliosainiwa tayari kabla ya wao kuupitisha?
 
Ni dhaifu kweli, wanawezaje kujadili mkataba uliosainiwa tayari kabla ya wao kuupitisha?
Mkuu Faana , wewe na Watanzania wengi mnahitaji elimu ya mikataba, mnahitaji kuelimishwa kuhusu mikataba ya kitaifa, na ya kimataifa ya nchi na nchi, International treaties, bilateral treaties na multilateral treaties, na kuelimishwa ni wakati gani itapelekwa Bungeni, na huko Bungeni kama ni kujadiliwa au kufanyiwa ratification.

P
 
Ni Bunge la Chama kimoja

Mwenyekiti wa CCM ndio boss wa wote waliomo bungeni kasoro Covid 19 πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , Nchi yetu ni nchi ya vyama vingi, na Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, hata kama ni Bunge la CCM predominantly na mpinzani hata kama ni mbunge mmoja, ni Bunge la JMT na sio Bunge la CCM!.
P
 
Mkuu Kulwa Jilala , hoja yako hii "

Marais .... hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa ... na ... na ...
Ma Rais ... hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais .... wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia ... , ... na waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?"
Bandiko hili lilikuwa la kibaguzi!, modes walalitendea haki!.

Naomba kukuuliza kitu, jee unajua ni kwanini ni wale jamaa wa upande ule tuu ndio wote wame leftishwa na wale wa upande mwingine, wote bado wapo?.
P
 
Mkuu kitu kama hicho sio lazima uwe umeenda shule Wewe huoni hizo sarakasi kugawana mitungi ya gesi na kupitisha bahasha za mialiko std 7 wame kuwa madokta nk its a clown show
 
Hiyo Taasisi Njaa tupu hao hao wameandika kitabu cha kumkashifu Magufuli.

Wako upande wa serikali tunahitaji taasisi huru kujadili haya mambo
 
Kwani tunabunge ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…