Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #181
Basi toa porojo zako za mtaaani!Ivi ninani hasa aliyekwambieni kila habari inakuja na link? Link ni kiunganishi kwenye mtandao wa computer au icho kimeo chako sasa kama habari zipo live kwenye television za kimataifa bado unataka link tu?
Mlisoma wapi habari kwanza chanzo cha habari kinatokana na link tu., em nenden shule kwanza msije hapa mukiwa ovyo namna hii