Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hawali nguruwe wakati nimekuwekea na data hapo inayoonesha ulaji wa nyama huku kitimoto kikiwa namba moja?Naongela seafood hata kucommand mchezo huo tunaujua ,hawali nguruwe kama unavyojidanganya....Mara useme fish wale pawns nao utasemaje yale majongoo?
Usilazimishe kwa vile ukisema seafood ni pana ..
Technically vyakula vyote ambavyo vinakuwa considered kama seafood vyote ni nyama.
Kuanzia hizo pawns, shrimps nk zote hizo zipo kwenye seafood ambayo ni nyama.
Kwa hiyo inapotolewa orodha ya matumizi ya nyama halafu ukaona Kitimoto kipo on top ujue kabisa hao seafood sio kitu mbele ya Kitimoto.