Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hivi unaelewa unachokiandika?🤣🤣Hajaelewa kwani seafoods ni nyama?
We jamaa una elimu gani? Hiyo ni meat consumption naongelea seafoods.
Kifupi , seafoods ni mjumuiko wa vyakula vya baharini kama samaki ,ukamba ,majongoo ya bahari ,kuna nyoka wa bahari ,wapo mabata na ndege wa baharini ,konokono wa baharini ,kumbwa ,pweza ,ngisi na vipo vyakula aina kibao.
Basi wewe ndio utakuwa huelewi unachokiandika.
Kivipi seafood isiwe nyama?
Unasema seafood sio nyama halafu hapo hapo unataja mifano ya samaki, kwa hiyo samaki ni mchicha?
Hivyo vyote unavyovitaja wewe sijui nyoka, pweza, ngisi. Vyote hivyo vipo kwenye kundi la kitoweo ambacho ndio nyama yenyewe.