Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

Venus Star nadhani umesoma au unasoma China, ndio maana unawafagilia zaidi ya uhalisia. Thread umeweka kama swali, lakini ndani umejaza mambo yako yote. China imeendelea sana, hilo halina ubishi. Kwenye teknolojia China soon atakuwa giant, ila hadi sasa si kiongozi. Mimi natoa maoni kama layperson.

Kwa wafanyabiashara, kama unataka mashine ya uzalisha fulani, ukitafuta nzuri China basi itakuwa na components ambazo ziko outsourced nje ya China au kampuni ya nje iliyopo China. Ukitaka mashine ya uhakika, basi utapata nje ya China, shida huwa bei kuwa juu ukilinganisha na China.

Katika ulimwengu teknolojia nyingi ziko wazi (vilishawahi kuwa discovered na watu) ila shida ni kufanya kifanye matumizi unayotaka kwa ufanisi zaidi (invention).

Hadi sasa China yupo vizuri kwenye mass production either ikawa ni kwa high quality items ambazo ni nadra kuwa superior kwa wapinzani wenzake globally au ni zile low-quality products.

Pia China ananufaika sana na contract manufacturing, kwa sababu ya gharama ndogo za nishati, mishahara na kodi. Kuna kiwanda fulani cha matairi kilichopo Taiwan, bei za Tairi kiwanda kikuu ni ndogo, ila ukiwaambia wachukua kiwanda chao cha China rate kwa kila tairi inapungua zaidi ya dolla 15 na kwa ubora uleule.

China ananufaika sana na soko lake kubwa la ndani ambalo lina sheria ngumu katika kulilisha products zitengenezwazo nje.

Tuna matukio mengi ya serikali ya China kutuma vijana wake sehemu nyeti mataifa ya magharibi kama kwenye taasisi za elimu, utafiti, kijeshi n.k ili kunufaika kwa vyovyote vile kwa kuchukua teknolojia ya wenzao. Hii inaonesha China ina struggle bado sehemu nyingi za teknolojia.

Ila uvumbuzi na ubunifu wa vitu huwa nadra sana kufanywa na mtu wa taifa moja. Mtengano wa China na mataifa mengine ya Ulaya unalifanya China isikue haraka katika teknolojia. Adui zake wengi ni giants kwenye teknolojia, hivyo ku share taarifa inakuwa ngumu. Ingewatymia muda mfupi China kukua kana wasingekuwa na strained relationship na US, Japan, Taiwan, Germany, UK, Australia, n.k

Sidhani kama matokeo ya China kuwa banned na Trump kwenye vitu vingi yataonekana ndani ya muda mfupi. Labda miaka 10 ijayo. Huawei pamoja na oS yao bado haifanyi vizuri nje ya China. Unahitaji vichwa vingi kufanikisha hayo mambo. Pia China iendelee kuajiri vichwa vya watu makini vilivyotapakaa globally kama US ilivyokuwa ikifanya kwa muda mrefu.

Ila naamini ndani ya miaka 20 ijayo, China atakuwa giant kwenye teknolojia, na yamkini goods zake zitaanza kuwa ghali pia.
Sijaona popote ukiongelea 5G ya huawei na LTE
 
11 Chinese Laptop Manufacturing Companies

1. Lenovo: Lenovo is one of the largest and most well-known laptop manufacturers in the world. It is a Chinese multinational company with a strong presence in the global laptop market.

2. Huawei: Huawei, primarily known for its telecommunications equipment and smartphones, also produces laptops under the "MateBook" brand. They have gained recognition for their sleek and high-quality designs.

3. Xiaomi: Xiaomi is another major Chinese technology company that manufactures laptops. They offer a range of laptops under the "Mi Notebook" series, known for their value for money.

4. ASUS: Although ASUS is a Taiwanese company, it has manufacturing facilities in China. They produce a wide range of laptops, including gaming laptops, under the ASUS and ROG (Republic of Gamers) brands.

5. Honor: Honor, a subsidiary of Huawei, produces laptops under the "MagicBook" series. These laptops are known for their stylish designs and competitive pricing.

6. Tongfang (Clevo): Tongfang is an original design manufacturer (ODM) that produces laptops for various brands. They also sell laptops under their own brand, Tongfang, and provide customization options.

7. Chuwi: Chuwi specializes in affordable laptops and tablets. They offer a range of budget-friendly laptops with varying specifications.

8. Teclast: Teclast primarily focuses on tablets but also produces some laptop models. They are known for offering cost-effective devices.

9. Haier: Haier is a diversified conglomerate that includes consumer electronics in its portfolio. They produce laptops under the "Haier" brand.

10. Jumper (EZBook): Jumper is known for its budget-friendly laptops, especially the EZBook series, which provides a balance between performance and affordability.

11. Terrans Force: Terrans Force specializes in gaming laptops and notebooks, offering powerful hardware configurations for gamers and enthusiasts.
 
Lenovo ThinkBook 16 Gen 4 - Made in China

1695188120299.png

1695188141782.png
 
Chuwi - HeloBook Pro
1695188673517.png
 
Teclast

F15 Plus 2 Laptop​

1695188778815.png
 
Sijaona popote ukiongelea 5G ya huawei na LTE
Venus hongera kwa good analysis,! hakika utafiti wako umeutendea haki.

Lakini!

Kwakuwa heading yako iko katika mfumo wa swali linganishi! kwa maana ya China vs Ulaya na USA.

Nilidhani analysis yako pia ingekuwa katika mfumo wa kulinganisha China na eidha USA au Ulaya.

Hatuwezi kuwa na majibu moja kwa moja kama maelezo yako yoote yame base upande wa China bila kuona USA naye anafanya nini kwa yale ambayo China anafanya.

Ili tuwe sawa, please njoo kwa hayo uliyo analyse, tuambie pia USA yuko katika level gani.
 
Attachments

  • VID-20230920-WA0038.mp4
    6.1 MB
Kinefinity - Camera
Kinefinity™ is the brand of professional digital cinema products including KineRAW cameras, KineMAG SSD, KineKIT accessories, KineStation transcoding software, KineGrip sidegrip, and more. The KineRAW cameras and related products are designed, developed, assembled in China by a team with passion, concentration, vision and technical background from high performance astronomy camera design. The KineRAW™ cameras and related products are value-priced digital cinema camera specifically for film or video creations, and are trying to bring the digital RAW advantages into more creations. And Hope more people would join us or cooperate with us to provide better service and experience for our clients.
1695189433474.png

1695189453049.png
 
Venus hingera kwa good analysis,! hakika utafiti wako umeutendea haki.

Lakini!

Kwakuwa heading yako iko katika mfumo wa swali linganishi! kwa maana ya China vs Ulaya na USA.

Nilidhani analysis yako pia ingekuwa katika mfumo wa kulinganisha China na eidha USA au Ulaya.

Hatuwezi kuwa na majibu moja kwa moja kama maelezo yako yoote yame base upande wa China bila kuona USA naye anafanya nini kwa yale ambayo China anafanya.

Ili tuwe sawa, please njoo kwa hayo uliyo analyse, tuambie pia USA yuko katika level gani.
Karibu tujadiliane sasa. Ndio maana ya swali langu kuwa je, Ulaya wamekubali yaishe? Tunajua kuwa USA wamepiga ban za kutosha kampuni za china. Lakini tunaendelea kuona statistics zikiendelea kuibeba china.

Je, wewe unacho cha kutuonesha kwamba ulaya bado haijakubali?
 
Awapi sio kweli kuwa kwa China kitimoto kinaliwa kwa ukanda au kitabaka.

China ktimoto kinaliwa sehemu zote na ndio nyama yao kuu.

Nakumbuka 2019 kuna jarida liliwahi kuripoti habari iliyokuja na kichwa cha habari kilichosema

"Ulimwengu hauna nguruwe wa kutosha kutimiza mahitaji ya mlo wa kitimoto kwa nchi ya china"
Hata hapa nchini iliwahi kuongelewa bungeni na waziri akisema mahitaji ya kitimoto nchini ni makubwa sana kulinganisha na kiasi ambacho nchi inazalisha, hivyo wanaangalia uwezekano wa kuagiza kutoka nje.
 
Z CAM - Cameras

Z CAM is a camera brand created by a team of innovative and creative people dedicated to develop high performance, state of the art imaging products and solutions.

In 2015, the team launched Z CAM E1, the world's smallest 4K, MFT interchangeable lens mount camera.

Z CAM - Headquarter​

1A, F5, TCL International E City,
1001 Zhong Shan Park Road, Nan Shan,
Shenzhen, China
1695189826470.png

1695189986249.png
 
Karibu tujadiliane sasa. Ndio maana ya swali langu kuwa je, Ulaya wamekubali yaishe? Tunajua kuwa USA wamepiga ban za kutosha kampuni za china. Lakini tunaendelea kuona statistics zikiendelea kuibeba china.

Je, wewe unacho cha kutuonesha kwamba ulaya bado haijakubali?
Nilitaman kufanya ivo, bahati mbaya sijafanya utafiti kama wewe!.

Hapa nitatumia uzoefu tu, ambao kimsingi hautakidhi kujibu hoja ulizoleta kwa kila Item ya china uliyo ijadili.

Uzoefu unaonesha, China amekuwa mtu wa ku copy Tech za Mataifa ya Ulaya na Marekani.

Invention nyingi zimefanywa na Watu wa mataifa ya Ulaya na Marekani, Ukikubaliana na mimi basi hoja za msingi zitakuwa zimejibiwa.

Kuna member mmoja ameongea kuwa China labda tumzungumzie kwenye bulky production kulingana na soko alilo nalo hasa la ndani. kwakuwa ana population kubwa. lakin kwenye Quality Product ambazo zinaweza ku compete world wide bado sana.

Katika maelezo yako ungeanza na Maana ya Technologia (Definition of technology) ili mjadala uwe mzuri zaidi.
 
Nilitaman kufanya ivo, bahati mbaya sijafanya utafiti kama wewe!.

Hapa nitatumia uzoefu tu, ambao kimsingi hautakidhi kujibu hoja ulizoleta kwa kila Item ya china uliyo ijadili.

Uzoefu unaonesha, China amekuwa mtu wa ku copy Tech za Mataifa ya Ulaya na Marekani.

Invention nyingi zimefanywa na Watu wa mataifa ya Ulaya na Marekani, Ukikubaliana na mimi basi hoja za msingi zitakuwa zimejibiwa.
Kuna makosa madogo madogo wanayafanya USA na kumfanya China aendelee kujitegemea.
Unajua sababu ya china kufanikiwa katika Technology ni pamoja na almost 70% ya Rare Earth Elements zinapatikana na kuchimbwa china

1695190634109.png

1695190768539.png
 
China kwa chip bado wako nyuma kidogo lakini they are coming maana kilichotokea kama week mbili zilizopita na HUAWEI kimewaacha mabeberu na kizunguzungu, wanachotaka solve kikubwa ni machine za kuzalisha hizo chip kama zile za mdachi ASML ambazo kapigwa ban, they working day and night najua watazipata tuu maana nasikia research stage wameshavuka wanamalizia puzzles zilizobaki, Historia haiko upande wa mabeberu walishafnay huu upuuzi ili kumrudisha nyuma China lakini walipigwa na kitu kizito sana, mfano China alipigwa ban na kunyimwa kabisa technology ya GPS waliingia kazini wakaja na BeiDou kitu superior kuliko GPS, vile vile walipigwa ban space station walichofanya wakaja na ya kwao ambayo ni very modern na superior kuliko ya mabeberu, nuclear walifanya the same miaka ya 60 maana walijua bila nuclear wangeteseka tuu na kupewa order, sasa hivi wana hypersonic ambayo beberu hana na inawafanya Pentagon wasipate usingizi maana unaweza kushtukia iko mlangoni , wachina achana nao ni watu wanjua kuweka focus sana kwenye kitu wanachotaka, nimesoma nao na kule nyumbani ni kama wale washikaji wana akili sana na wanasoma usiku kucha bado, faculty zote za vyuo vikuu vya maana US kama Havard, Princeton, Yale etc kwenye masomo ya science, medicine,Engineering etc wamejaa wachina vibaya sana, hawa watu itakuwa ngumu sana kushindana nao, ila ninachoogopa ni ule ukomunisti wao maana naona kuna siku tutalazimishwa kuongea kichina dunia nzima
Kwenye kuongea kichina hapana ndugu
 
NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china.

VIJANA WAPENDA ULAYA NA MAREKANI KARIBU TUJIFUNZE WOTE. MJE NA FACTS
Sipingani na na sina shaka na uwezo wa China kwenye uvumbuzi, pia research and development. Hauwezi ukawa second largest economy in the world wakati hauna vyote hivyo.

Turudi kwenye ubishi unaojaribu kuutengeneza. Wanachofuata huko Marekani na Ulaya ni fursa za kuwa sehemu ya huo ufumbuzi, miundombinu , uchumi technology nk? Au wanafuata kununua?
Mifumo ya maisha ya Ulaya na Marekani inatoa fursa ya kuwa accommodate watu wa nchi nchingine kuwa sehemu yao.
Wakati mifumo ya Uchina haikukaribishi ili kuku accommodate bali toa hela wakufundishe then rudi kwenu. Zaidi ya hapo ni either uwakaribishe kwenu wakufanyie au wakuuzie.
Walioenda Ulaya na Marekani wamepima watakacho wakaona kile wanachoweza kukipata huko walipoenda.
Kama ni manunuzi ya teknology na products nyingine mbona wanazufuata hukohuko China, sababu bei na gharama ni affordable.
Hivyo basi katika issue hiyo, kwa sisi tuliosoma Chinese Philiosophy tunalichukulia kama ni Yin and Yang.

N.B
Nimekujibu kulingana na hiyo statement yako ya mwisho, imekaa kiubishi na kupelekea kui pre-empty statement yako nzuri ya mwanzo kabisa ambayo ilianza vizuri kwa kusema ulifanya research (?).
 
Wewe ni mdadisi. 🤝 🤝 🤝
 
Back
Top Bottom