Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #61
Yitu Technology
www.yitutech.com
YITU Technology | YITU Explore the AI World
YITU Technology | YITU Explore the AI World
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikakuambia ni ripot mbili tofauti sasa angalia takwimu per capita.Naelewa technique uliyotumia hapo
Ume searcch jibu huja search swali.
Ume search kuhusu report ya seafood
Huja search kuhusu ulaji wa nyama kiujumla
I know well that trick
Wako nyuma kwenye Chip technology ambayo ndio roho ya kila kitu , kuanzia super computer, AI, weapon system etc zote zinategemea chip, kuna kampuni moja tuu duniani inayomilikiwa na wadachi inaitwa ASML ndiyo inazalisha machine za kuzalisha most advanced chip in the World ingawaje sio kampuni ya wamarekani lakini wanailinda kuliko wadachi wenyewe, mdachi kazuiwa na US asimuuzie mchina ndio maana mchina hawezi kutengeneza chip za chini ya 7nm, angalia youtube documentary ya hii kampuni yab ASML ni ya wadachi utajifunza mambo mengi sana na utaelewa kwanini US anaogopa sana mchina akiipata technology kama waliyokuwa nayo ASML, wataalam wanasema ni swala la muda tuu mpaka mchina aipateHapo uliposema wapo nyuma kidog. Hebu tueleze katika kipi?
Mshine hizo za kuzalisha hizo chip zinaitwaje? Kwanini sasa hao wadachi wasitengeneze chips.Wako nyuma kwenye Chip technology ambayo ndio roho ya kila kitu , kuanzia super computer, AI, weapon system etc zote zinategemea chip, kuna kampuni moja tuu duniani inayomilikiwa na wadachi inaitwa ASML ndiyo inazalisha machine za kuzalisha most advanced chip in the World ingawaje sio kampuni ya wamarekani lakini wanailinda kuliko wadachi wenyewe, mdachi kazuiwa na US asimuuzie mchina ndio maana mchina hawezi kutengeneza chip za chini ya 7nm, angalia youtube documentary ya hii kampuni yab ASML ni ya wadachi utajifunza mambo mengi sana na utaelewa kwanini US anaogopa sana mchina akiipata technology kama waliyokuwa nayo ASML, wataalam wanasema ni swala la muda tuu mpaka mchina aipate
Halafu hili nilijua tu mtakuja nalo ndio maana niliweka kabisa katika comments za kwanza.Wako nyuma kwenye Chip technology ambayo ndio roho ya kila kitu , kuanzia super computer, AI, weapon system etc zote zinategemea chip, kuna kampuni moja tuu duniani inayomilikiwa na wadachi inaitwa ASML ndiyo inazalisha machine za kuzalisha most advanced chip in the World ingawaje sio kampuni ya wamarekani lakini wanailinda kuliko wadachi wenyewe, mdachi kazuiwa na US asimuuzie mchina ndio maana mchina hawezi kutengeneza chip za chini ya 7nm, angalia youtube documentary ya hii kampuni yab ASML ni ya wadachi utajifunza mambo mengi sana na utaelewa kwanini US anaogopa sana mchina akiipata technology kama waliyokuwa nayo ASML, wataalam wanasema ni swala la muda tuu mpaka mchina aipate
Hapana, ilikuwaje?Unakimbuka Facebook na Instagram walichofanyiwa na Tiktok??
Hata USA katika top 5 apps zinazotumika sana, 4 ni Chinese apps, Tik Tok, Temu, CapCut na SheinApps mbadala haziwezi kuwa replacement ya hizo app hata siku moja.
Kwa matumizi ya China hilo haliwezi kuwa tatizo, ila Global ndio msala.
China hata Facebook kwao sio mchongo, wana WeChat.
Social Media apps zote za kimagharibi kule hazina deal. Ila Huawei kama ame target soko la kidunia lazima aangalie namna ya kuweza kuwavutia wateja wake ambao matumizi yao yapo kwenye hivyo vitu ambavyo yeye amepigwa marufuku.
Huawei ananunua hatengenezi chip, ila juzi baada ya ban ndio kaja na 7nm na mpaka sasa hakuna anayejua vizuri kaipataje maana hajasema ila imetengenezwa na chinese companyHalafu hili nilijua tu mtakuja nalo ndio maana niliweka kabisa katika comments za kwanza.
Nenda kasome nimeweka 6nm yenye modem ndani ya 5G
Nimeweka ya Huawei 5nm yenye modem ya 5G
Hii hapaNdio maana nikakuambia ni ripot mbili tofauti sasa angalia takwimu per capita.
Then uje uniambie wapi wanatumia sana vyakula vya baharini huwezi kuvihesabu kama nyama.
Tik Tok imekamata sana USHata USA katika top 5 apps zinazotumika sana, 4 ni Chinese apps, Tik Tok, Temu, CapCut na Shein
Nimekupatia mpaka link bado unabisha tu.Huawei ananunua hatengenezi chip, ila juzi baada ya ban ndio kaja na 7nm na mpaka sasa hakuna anayejua vizuri kaipataje maana hajasema ila imetengenezwa na chinese company
Unazingua mzeeHuawei ananunua hatengenezi chip, ila juzi baada ya ban ndio kaja na 7nm na mpaka sasa hakuna anayejua vizuri kaipataje maana hajasema ila imetengenezwa na chinese company
Mshine hizo za kuzalisha hizo chip zinaitwaje? Kwanini sasa hao wadachi wasitengeneze chips.
Hebu taja majina ya hizo mashine zinazotumika kutengeneza hizo chips. Na utuwekee hapa references.
Also upo nyuma sana mzee
Soma hapa:-
Hisilcon wana design tuu lakini hawana fab ya kufanya productionNimekupatia mpaka link bado unabisha tu.
Huawei wapo na kampuni tanzu inaitwa Hisilcon. Kazi yake ni kuunda semiconductors.
Mambo yamebadilika mzee
Kirin Chipsets | HiSilicon
Industry-leading Kirin chipsets for smartphones are powered by HUAWEI's SoC architecture and production technology, delivering high performance and saving energy.www.hisilicon.com
Mzee china yamejaa makampuni ya kutengeneza hizo machine.Hisilcon wana design tuu lakini hawana fab ya kufanya production
Upo nyuma sana mzee wangu. Dunia imekuachaHisilcon wana design tuu lakini hawana fab ya kufanya production
Uko sawa kabisa, lakini makampuni ya kichina yanatumia machine na material kutoka kwa mabeberu kutengeneza hizo chip, kilichotokea ni US na mabeberu wenzake wamezuia machine za kutengeneza chip chini ya 14nm zisiuzwe China, Chinese akiwa na machine anaweza hata kutengeneza 3nm lakini hana na hawezi kununua kwa ajiri ya ban, wanachofanya sasa China wanajitahidi kutengeneza machine zao wenyewe ila wasiwategemee mabeberuMzee china yamejaa makampuni ya kutengeneza hizo machine.
1. AMEC (Advanced Micro-Fabrication Equipment Inc.): AMEC is a leading Chinese manufacturer of semiconductor equipment, specializing in etch and deposition equipment.
2. NAURA Technology Group Co., Ltd.: NAURA is a prominent Chinese semiconductor equipment manufacturer that produces tools for various semiconductor manufacturing processes.
3. XMC (Xiamen XGMA Machinery Co., Ltd.): XMC manufactures equipment for the semiconductor industry, including photolithography machines and ion implanters.
4. CETC (China Electronics Technology Group Corporation): CETC is a state-owned enterprise in China involved in various technology-related sectors, including semiconductor equipment manufacturing.
5. Huajing Electronics Group Corporation: Huajing is known for its semiconductor equipment products, including sputtering equipment and etching systems.
Fanya research yako mzee.
Mzee hizi taarifa zipo kwenye kichwa chako tu.Uko sawa kabisa, lakini makampuni ya kichina yanatumia machine na material kutoka kwa mabeberu kutengeneza hizo chip, kilichotokea ni US na mabeberu wenzake wamezuia machine za kutengeneza chip chini ya 14nm zisiuzwe China, Chinese akiwa na machine anaweza hata kutengeneza 3nm lakini hana na hawezi kununua kwa ajiri ya ban, wanachofanya sasa China wanajitahidi kutengeneza machine zao wenyewe ila wasiwategemee mabeberu
Wewe naona hatuelewani, yes alikuwa anatengeneza lakini machine alizokuwa anatumia sio zake,alikuwa ananunua kutoka Japan na Netherlands, sasa kapigwa ban hawezi kununua hizo machine, ni kama wewe unalima lakini unatumia mbegu na tractor za US then kesho wanakuambia hawakuuzii tena mbegu wala tractor za uzalishaji, ndio kilichotokea China ,na HUAWEI ikapoteza billions of money kwa kukosa chip za kuweka kwenye simu zao, sasa wanajaribu kurudi ndio maana juzi walipopata domestic supplier wa 7nm ilikuwa big deal all over the WorldMzee hizi taarifa zipo kwenye kichwa chako tu.
But mchina anatengeneza 5nm.
Hizo ni wishes zako tu
View attachment 2755239