Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

Baadhi ya maswali ya Teknolojia Securities in China

1. Facial Recognition Technology:
- Megvii (Face++): Megvii is a leading Chinese company known for its facial recognition technology, which is used in surveillance, authentication, and other applications.

2. Surveillance Cameras:
- Hikvision: Hikvision is one of the world's largest manufacturers of video surveillance products, including security cameras and systems.
- Dahua Technology: Dahua Technology specializes in video surveillance solutions, offering a range of security camera products.

3. Artificial Intelligence (AI) Security Solutions:
- SenseTime: SenseTime is an AI company that develops facial recognition, object recognition, and other AI-based security solutions.

4. Cybersecurity:
- 360 Total Security: Qihoo 360, also known as 360 Total Security, provides antivirus and cybersecurity software.

5. Drone Security:
- DJI (Dà-Jiāng Innovations): DJI, a world-leading drone manufacturer, has developed various security features in its drone technology.

6. Voice Recognition Technology:
- iFlytek: iFlytek is known for its voice recognition technology and applications, including voice assistants and transcription services.

7. Anti-Virus Software:
- Tencent (Tencent Security): Tencent offers cybersecurity and antivirus software solutions to protect against online threats.

8. Biometric Authentication:
- Goodix Technology: Goodix specializes in fingerprint recognition technology, used in devices for secure authentication.

9. Network Security:
- Huawei (Huawei Cyber Security): Huawei provides network security solutions and services, including firewalls and threat detection.

10. Blockchain Security:
- Ant Group (Ant Financial): Ant Group has worked on blockchain technology for secure and transparent financial transactions.

11. Data Encryption:
- 360 Enterprise Security Group (360 ESG): 360 ESG focuses on data security, including encryption and protection solutions.

12. Smart Access Control Systems:
- ZKTeco: ZKTeco develops biometric access control and time attendance systems for security applications.

13. Smart Home Security:
- Xiaomi (Mi Home): Xiaomi offers smart home security products, including cameras, sensors, and alarms.

14. Video Analytics:
- Yitu Technology: Yitu Technology provides video analytics solutions for security, surveillance, and facial recognition.

15. Anti-Phishing Solutions:
- Kingsoft Cloud (Kingsoft Security): Kingsoft Cloud offers anti-phishing and cybersecurity solutions.

16. Smart City Solutions:
- Sensetime: Apart from facial recognition, Sensetime is involved in providing smart city solutions for public security.

17. Network Intrusion Detection Systems (IDS):
- Venustech: Venustech develops network security products, including IDS, to detect and prevent cyber threats.
 
Nilifanya na mchina jamaa navuta msigara mda wowote ,tulikuwa tunalala kweny Godown 😅😅huyo jamaa halali uzuri kazi tulikuwa hatulipwi kwa mwezi ..Tunalipwa tuliomaliza basi tunaunga kazi ya mwezi tunafanya siku 16 yaani tunapiga ili tumalize .

Jamaa alituelewa sana kweli ila anabust sana mara sigara mara anakunywa pombe ili asilale.
Boss wakichina halali hovyo hovyo, hawaachii kazi wafanyakazi peke yao anasimamia hapo hapo, wanapiga kazi hao na fegi zao.

Maboss wakichina ni tofauti kabisa na maboss wa kibongo off nyingi😁, kukimbia ofisi kupenda kafanyiwa kazi, uzembe.

Sema wachina walinifunza kitu kikubwa sana wale jamaa bwana ukiondoa changamoto zao ndogo ndogo kwenye kazi inshort wapo vizuri.
 
Megvii

1695151999147.png
 
Apps mbadala haziwezi kuwa replacement ya hizo app hata siku moja.

Kwa matumizi ya China hilo haliwezi kuwa tatizo, ila Global ndio msala.

China hata Facebook kwao sio mchongo, wana WeChat.

Social Media apps zote za kimagharibi kule hazina deal. Ila Huawei kama ame target soko la kidunia lazima aangalie namna ya kuweza kuwavutia wateja wake ambao matumizi yao yapo kwenye hivyo vitu ambavyo yeye amepigwa marufuku.
Yes, upo sahihi ila anaweza waamisha wateja kwenda kwenye apps zake kama zitakuwa bora zaidi na kuwa vutia wengi
 
Leta takwimu acha utani kule ni peking duck ,pawns hao nguruwe ni vijijini kwa vile hawana maajabu acha kudanganya watu..

Waulize wanaoenda chini kwao nguruwe ni mnyama ambaye watu wengi wanakula kwa wageni haswa wazungu ndio maana unaiona ila nyama nyingi wanzopenda wrwe huwezi kula ,ukikuta mchanganyiko hapo utaambulia nyana za nyura ,kenge ndio maana wageni bora wale nguruwe.

Nguruwe analiwa vijijini kwa sana.
Kitimoto ndio nyama kuu kule China
Screenshot_20230919-223525.png
 
Boss wakichina halali hovyo hovyo, hawaacchii kazi wafanyakazi peke yao anasimamia hapo hapo, wanapiga kazi hao na fegi zao.

Maboss wakichina ni tofauti kabisa na maboss wa kibongo off nyingi😁, kukimbia ofisi kupenda kafanyiwa kazi, uzembe.

Sema wachina walinifunza kitu kikubwa sana wale jamaa bwana ukiondoa changamoto zao ndogo ndogo kwenye kazi inshort wapo vizuri.
Ila hawa jamaa nahisi maisha yao hayana bata kama sisi kwa sababu hawa jamaa wamepanga kweli kufanya kazi mda wote.

Yule jamaa alikuwa kama anajitesa yaani kulala halali , tulikuwa tunapiga mpaka sasa usiku ila tunampuzika sio mfululizo...Mimi nalala hiyo saba ili kumi na moja niwahi ibada ila jamaa namuacha yupo macho anachoma fegi ila ile 11 yeye ndo ananiamsha 😅😅.

Hata kuswaki jamaa anaanza kunywa pombe na fegi then anaswaki na kunywa kahawa basi ,hapo kama saa 2 kazi inaanza na vyakula vyake mara biscuts hata simuelewi.
 
Kitimoto ndio nyama kuu kule ChinaView attachment 2755160
Leta takwimu za chakula pendwa mbona unatafuta kitimoto tu 😅😅😅wachina wapo wengi sana ukweli ni kwamba wanakula vyakula vya baharini kwa sana...Kama vyote yaani yaani kama kitimoto ni hivyo basi vyakula vya bahari ni mara 2.

Mjini sio wanaokula ni wachina pekee bali mjini ndio kuna wageni wengi wanatumia ila vijijini asilimia kama wote ni wachini ...Hawa vijana wanaoenda chini wengi wanaona bora kula nguruwe maana nyama nyingi hawazielewi.
 
SenseTime
SenseTime is a Hong Kong-headquartered artificial intelligence company with offices in China, Indonesia, Japan, South Korea, Macau, Malaysia, the Philippines, Saudi Arabia, Singapore, Taiwan, Thailand and the United Arab Emirates.

360 Total Security

1695152708784.png

360 Safeguard and its international version, 360 Total Security, is an antivirus software developed by Beijing, China-based internet security company Qihoo 360. 360 Safeguard's focus is on stopping malware such as computer viruses and trojan horses and providing security patches for Microsoft Windows.
 
Ila hawa jamaa nahisi maisha yao hayana bata kama sisi kwa sababu hawa jamaa wamepanga kweli kufanya kazi mda wote.

Yule jamaa alikuwa kama anajitesa yaani kulala halali , tulikuwa tunapiga mpaka sasa usiku ila tunampuzika sio mfululizo...Mimi nalala hiyo saba ili kumi na moja niwahi ibada ila jamaa namuacha yupo macho anachoma fegi ila ile 11 yeye ndo ananiamsha 😅😅.

Hata kuswaki jamaa anaanza kunywa pombe na fegi then anaswaki na kunywa kahawa basi ,hapo kama saa 2 kazi inaanza na vyakula vyake mara biscuts hata simuelewi.
Wale wachina tulikuwa tunapiga nao mzigo walikuwa na tuvitanda twao special kama vile vibembea vya beach walikuwa wanajiegesha tu huku wakipeana shift ni kupiga kazi usiku kucha hakuna cha mkuu wala nani.

Hawapendi wizi na uvivu kwenye kazi wao ni kupiga kazi tu muda mwingi wapo race tu😁 na fegi hawaachi.

Hivi zile sigara haziwapi madhara kweli ? maana wote tuliokuwa tunapiga nao mzigo walikuwa wazee wa fegi nyingi balaa
 
🤣🤣🤣
 
DJI (Dà-Jiāng Innovations)

SZ DJI Technology Co., Ltd. or Shenzhen DJI Sciences and Technologies Ltd. or DJI is a Chinese technology company headquartered in Shenzhen, Guangdong, backed by several state-owned entities. DJI manufactures commercial unmanned aerial vehicles for aerial photography and videography.

1695152870931.png
 
View attachment 2755173

Soma hapo ndio utaelewa vyakula vya bahari na wanataraji kutumia 38% ya samaki wote dunia wawe wanaliwa china tu.

Vyakula vya bahari wanakula kila kitu ,wewe unaleta takwimu za nyama🤣.
Naelewa technique uliyotumia hapo

Ume searcch jibu huja search swali.

Ume search kuhusu report ya seafood

Huja search kuhusu ulaji wa nyama kiujumla

I know well that trick
 
Goodix Technology

is an integrated solution provider for applications based on IC design and software development. We provide industry-leading software and hardware semiconductor solutions for smart devices, IoT applications, and automotive electronics.
 
Apps mbadala haziwezi kuwa replacement ya hizo app hata siku moja.

Kwa matumizi ya China hilo haliwezi kuwa tatizo, ila Global ndio msala.

China hata Facebook kwao sio mchongo, wana WeChat.

Social Media apps zote za kimagharibi kule hazina deal. Ila Huawei kama ame target soko la kidunia lazima aangalie namna ya kuweza kuwavutia wateja wake ambao matumizi yao yapo kwenye hivyo vitu ambavyo yeye amepigwa marufuku.
Unakimbuka Facebook na Instagram walichofanyiwa na Tiktok??
 
Back
Top Bottom