Kijezo kikuu kilichotumika ni GNI,Sasa wastani wetu ni USD 1080 per year.Mwaka 2015 GNI ilikuwa USD 980.00, only 20 USD away from uchumi wa kati,now tupo ndani ya uchumi wa kati tena kabla ya muda maana GNI yetu Sasa ni USD 1080,yaani mchapa kazi kaongeza USD 100 in five good yearsSijijui mbona unataka kubisha tuu? Hebu niambieni, unajua kuwa Tanzania imetangazwa kuingia kwenye uchumi wa kati? Unafikiri ni vigezo gani vilitumika kutuweka hapo?
Kikwete aliwezaje?Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika lakini maisha yalikuwa nafuu na biashara zilikuwa zinaenda kwa maana ya mzunguko wa fedha!Mfano ndege,kuna tija kweli kununua ndege zote hizo?Mafanikio makubwa yanagharama zake. Mwaka huu mshahara umeongezwa.
Kuhusu ajira ni lazima ujue haiwezekani kila mtu akaajiriqa na serikali. Serikali inatengeneza mazingira mazuri kupitia PPP na huko ajira rasmi na zisizo rasmi hutokea.
Ajira za walimu zimetangazwa. Najua bado eneo hilo lina changamoto ila tutafika pazuri zaidi
Hakuna anayekataa kazi nzuri iliyofanywa na watangulizi wake ila Kama yeye angeboronga tungefikaje kwenye huo uchumi wa kati?Upuuzi mtupu. Aliyefanya kazi kubwa kutupeleka kwenye uwigo wa chini wa uchumi wa kati (hatujafika uchumi wa kati) ni Mkapa na Kikwete. Hawa kwa vipindi vyao vya uongozi walipandisha per capita ya mtanzania kwa zaidi ya dola 400. Magufuli miaka 5 amepandisha per capita kwa dola 100. Magufuli administration has been the worst of all.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kutufikisha hapo. Hata Mussa alifanya kazi ya kuwatoa wanawaisraeli Misri lakini ni Haruni aliyewafikisha kananiKijezo kikuu kilichotumika ni GNI,Sasa wastani wetu ni USD 1080 per year.Mwaka 2015 GNI ilikuwa USD 980.00, only 20 USD away from uchumi wa kati,now tupo ndani ya uchumi wa kati tena kabla ya muda maana GNI yetu Sasa ni USD 1080,yaani mchapa kazi kaongeza USD 100 in five good years
Kikwete alifanya alipoweza kwa staili yake, Magufuli naye anafanya kwa staili yake.Kikwete aliwezaje?Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika lakini maisha yalikuwa nafuu na biashara zilikuwa zinaenda kwa maana ya mzunguko wa fedha!Mfano ndege,kuna tija kweli kununua ndege zote hizo?Kwanini hakuna uwazi na CAG kapigwa pini kukagua ATCL?Je,kujengs uwanja wa kimataifa CHATO kuna tija?
Mnaposifia tu kila jambo bila tafakari ya kina mnafanya JPM na seriksli yake kufanya makosa zaidi!
Ndo maana namsifia kwa kuongeza shilingi laki mbili kwenye wastani wa kipato Cha mnyonge kwa miaka mitano yaani 40,000 kwa mwaka pamoja na kupiga kazi sanaIla kutufikisha hapo. Hata Mussa alifanya kazi ya kuwatoa wanawaisraeli Misri lakini ni Haruni aliyewafikisha kanani
Huyu Magu inaonekana kazi nyingi anafanya for nothing,yaani hatumii maarifa hivyo outcome yake inakuwa zero.Kikwete alifanya alipoweza kwa staili yake, Magufuli naye anafanya kwa staili yake.
Kubwa ni kuwa pesa rahisi haipo. Fanya kazi upate ujira. Rushwa imedhibitiwa na Kodi inakusanywa.
Rushwa imedhibitiwaje?Kura za maoni CCM haijakupa somo kuwa rushwa bado ni kubwa?Kwanini ununuzi wa ndege haujafuata utaratibu wa manunuzi wa serikali?kwanini ATCL haikaguliwi na CAG?Nini kinafichwa?Hujua athari kwenye mzunguko wa fedha kutumia matrilioni kununua ndege nyingi tena cash?Kikwete alifanya alipoweza kwa staili yake, Magufuli naye anafanya kwa staili yake.
Kubwa ni kuwa pesa rahisi haipo. Fanya kazi upate ujira. Rushwa imedhibitiwa na Kodi inakusanywa.
Mbona una hoja dhaifu namna hiyo mkuu, au unaona humu watoto sana.Mafanikio makubwa yanagharama zake. Mwaka huu mshahara umeongezwa.
Kuhusu ajira ni lazima ujue haiwezekani kila mtu akaajiriqa na serikali. Serikali inatengeneza mazingira mazuri kupitia PPP na huko ajira rasmi na zisizo rasmi hutokea.
Ajira za walimu zimetangazwa. Najua bado eneo hilo lina changamoto ila tutafika pazuri zaidi
Udhaifu wake ni upi mkuu?Mbona una hoja dhaifu namna hiyo mkuu, au unaona humu watoto sana.
Mkuu ndio maana unaona zahanati zimejengwa kila Kona, watoto wanapata elimu bila malipo na watoto was masikini hawashindwi kujiunga na elimu ya juu kwa kukosa ada, hawa wanapatiwa mikopo. Je, hapo sio kubalansi?Hakuna mtu anayebisha umuhimu wa miundombinu kwenye kuleta maendeleo lakini huwezi ukataka kujenga miundombinu yote kwa pamoja kama vile nchi inaondoka uksahau kuwa na wananchi wana mahitaji ya muhimu...
ATCL haikaguliwi na CAG? Una hakika?Rushwa imedhibitiwaje?Kura za maoni CCM haijakupa somo kuwa rushwa bado ni kubwa?Kwanini ununuzi wa ndege haujafuata utaratibu wa manunuzi wa serikali?kwanini ATCL haikaguliwi na CAG?Nini kinafichwa?Hujua athari kwenye mzunguko wa fedha kutumia matrilioni kununua ndege nyingi tena cash?
Mmefanya mazingira ya biashara kuwa magumu kwa kupunguza mzunguko halafu watu wakilalamika mnasingizia mianya ya rushwa imezibwa!!0Acheni ushabiki maandazi!
Unashauri nini Kifanyike?Angeweza kwenye mfumuko wa bei kama alivyo fanya Rais Mkapa, hata msingemlaumu.
Uelewa wako basi una upofu ama mahaba niue.Kwa uelewa wangu ni kuwa sekta binafsi haijakufa
Uchumi wa kati - chini,acha kuendelea na upotoshaji.Sijijui mbona unataka kubisha tuu? Hebu niambieni, unajua kuwa Tanzania imetangazwa kuingia kwenye uchumi wa kati? Unafikiri ni vigezo gani vilitumika kutuweka hapo?