Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Ninachokiona hapa mimi ni kimoja tu, hakuna upinzani ndan ya hili taifa, wapinzani haswa ndani ya hili taifa wanahesabika na mmoja wapo ni TUNDU LISSU.

Kitu kinachonifanya nione Mbowe hayupo sawa ni kimoja tu, kimoja tu, Lowassa kugombea 2015.

Hapa ndipo CDM tulipoanguka, mpaka sasa hatujaweza kusimama vizuri baada ya anguko hili.
 
story za kwenye kahawa.
 
Nijuacho mimi ni kuwa !Mbowe kawekwa ndani kumsafishia mama njia ya kushinda uchaguzi ujao!!!!Dai la katiba lipo lakini amewahi sana kudai hivyo amewekwa kimkakati ili kuandaa mazingira ya katiba mpya baadae na sio sasa!!!
Basi huu utakuwa mkakati wa kinyama na kishenzi sana
 
Kwakuwa ujinga huu uliuchukuwa kwenye kijiwe cha kahawa basi tumekusamehe, ila usirudie siku nyingine kutuletea mambo ya kitoto.
Ajabu ni kwamba unaweza ukawa ni mjinga wa mwisho,mtu mwenye akiki anaona mchezo wa Mbowe kukwamisha mambo kadhaa na hekima ambayo hua anaitumia ktk baadhi ya maeneo na hasa bungeni,operation kibao tu alizikwamisha,na hata kabla ya huyu ndugu kukuta hii story bado wengine tulishaga stuka kitambo,Tanzania ni nchi janja sana inaweka waTanzania salama kwa akili bila wao waTanzania kuelewa lolote,maana mzungu asipoona msuguano ndani yetu yamkini akatuletea shida
 
Mbowe hawezi kulamba maviatu ya mafisi
 
Nilivyosoma "kijiwe Cha kahawa "nikaishia hapohapo" vijiwe hivyo kila mtu ni PhD holder
 
Ukitaka kumuangalia huyu mwamba anzia mbali, ukimuangalia kidwanzi dwanzi unaweza sema mko pamoja, lakini jamaa ana mission ngumu kuliko ugumu wenyewe..huyu kaishikiliaa chadema ili isishindane na FiiSiiEem, huyu mtibua mambo tu anayekula mshahara ki ugumu kweli kweli.

Binafsi simuoni mbowe kama mpinzani labda mwana mazingaombwe,

Kuna Mbowe, alafu kuna Simba na Yanga, hivi vitu vinafanya watu wawe kama wanasesere!
 
Ameenda kushushushu Nini huko jela? Maana habarzajela waulizewafungwa yte yatakuwa hadharani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
NI VIGUMU SANA KUELEWESHA UMMA KUHUSU HILI SUALA LA MBOWE KUWA MZUGAJI TU NDANI YA CHADEMA ........

NB. miaka sitini ya uhuru bado chama kimoja tu kinatawala hadi leo ??
...
...
...BONGO HII NCHI INAFIKIRISHA SANA .
 
Eti wazee wa kale johnthebaptist & mrangi mnasemaje juu ya hili suala?

Niliwahi kuona mkidadavua mambo mengi sana majukwaani humu ambayo sisi watoto wajuzi tulibaki vinywa wazi

Nitafurahi kuona hekima yenu hata sasa tena.

Na je Mtumaini Mungu Ulituahidi kutupatia mrejesho gani na unatuletea mrejesho upi?
 
Mkuu MREJESHO wa kazi Mama niliyoenda kuifanya kule UTAPANDA HEWANI muda mfupi toka Sasa.
 
Ndo walewale
Mtikila ndio alikuwa Mpinzani wa kweli.
Alifungua kesi mahakamani ya mgombea binafsi na akashinda.

Hakuwahi kwenda ikulu kunywa chai.
Hakuwahi kuhudhuria sherehe za Chama Tawala
Hakuwahi kuomba maridhiano na Chama Tawala

Huyo mwingine ni muigizaji tu, siku zote ambazo yuko rumande analipwa Per Day yake.
Tena nzuri tu.
 
Kwa hiyo bowe ni jasusi, jasusi gani linapata suluba namna hii wakati majasusi yanafanya kazi zao smoothlly? Kama mbowe ni kachero basi kuna makachero mengi sana yamejikita kwenye vyama vya upinzani na dini, hata yule jamaa machachari wa uviko naye atakuwa jasusi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…