Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Usijidanganye wala usijipe moyo.
Usiukatae ukweli.
Mbowe ni mtuhumiwa wa ugaidi, Na huenda akikutwa Na hatia Na akafungwa jela au akaachiwa, yote hayo yanategemea ushahidi.
 
Wajinga wengi humu hasa machadema hawatakuelewa tena watakutukana mleta mada ila huo ndio ukweli sahihi. Mange alishasema Mbowe Lissu na wengine wanalipwa na ni vipenyo kupumbaza wajinga. Wenye akili tumetulia hatufuatilii hizo saga. Machadema mengi hayana kazi za kufanya.
Uwe mwelewa, kuna utofauti kati ya akili ya kuzaliwa yani talanta na ya darasani
 
Kwakuwa ujinga huu uliuchukuwa kwenye kijiwe cha kahawa basi tumekusamehe, ila usirudie siku nyingine kutuletea mambo ya kitoto.
Wapinzani akili zenu ni fupi sana hivi kuna tofauti gani kati ya mbowe,lowasa,sumaye,silaha,n.k.

Huna akili ndiyo hata za kuibia huna?
 
Hiv hata kama ungekua ww ungekubali kwenda kushikwa tako gerezan kisa kazi?
 
Ukifuatilia stori nyingi nyingi ,unaweza kuta Hiyo idara nyeti imeajiri karibia robo ya Watu TZ?😆😆


Na ukifuatilia vizuri hizi fununu za fulani yupo idara nyeti ,zinasambazwa na haohao wa idara nyeti Ili tuwaone wengi,mwisho wa siku tunabaki kua dull na complacent kwA lolote wafanyalo kwa kuhofia wingi wao au tuone "hakuna bora ya mwenzie /tuendelee na hawa hawa tu ,tutafanyeje sasa".
Hii ni Psy-Op 101.
 
Usijidanganye wala usijipe moyo.
Usiukatae ukweli.
Mbowe ni mtuhumiwa wa ugaidi, Na huenda akikutwa Na hatia Na akafungwa jela au akaachiwa, yote hayo yanategemea ushahidi.
Mbowe ni Gaidi wa Democrasia.
Wakati Tundu Lisu anapiga kampeni za Uraisi hakuwahi kuonekana wala kumsindikiza.

Alimkimbia kwakuwa Lisu alikuwa na hasira za kupigwa risasi.

Ni afadhari Magaidi wa Dini, kuliko Gaidi wa Democrasia.
Naomba Sana Afungwe.
Ila hatafungwa kwakuwa wanafanya mchezo na chamatawala.

Akitoka lupango mtamsikia anaomba maridhiano na kualikwa Ikulu japo akanywe chai.

Mshahara unaingia.
Na nawambieni kabisa, siku zinakuja atateuliwa na serikali kuwa kiongozi kama mwenzake Slaa.
Mpinzani wa Kweli alikuwa Mtikila tu. hao wengine ni walamba matapishi tu.

RIP Christopher.

Wananchi msijiumize, fanyeni Siasa kama hobi tu.
 
Sasa huko magereza kuna kazi gani anayoifanya?
Mkuu jiongeze kidogo,
Hizi ni speculation zenye fact nyingi tu ndani yake,
Tumia akili uliyopewa na muumba kuchambua habari,
Hakuna siku ccm, au jamaa wale watakuja watakuambia huyu ni mwenzetu.
 
Nijuacho mimi ni kuwa !Mbowe kawekwa ndani kumsafishia mama njia ya kushinda uchaguzi ujao!!!!Dai la katiba lipo lakini amewahi sana kudai hivyo amewekwa kimkakati ili kuandaa mazingira ya katiba mpya baadae na sio sasa!!!
Nadhan
 
Ukifuatilia stori nyingi nyingi ,unaweza kuta Hiyo idara nyeti imeajiri karibia robo ya Watu TZ?[emoji38][emoji38]


Na ukifuatilia vizuri hizi fununu za fulani yupo idara nyeti ,zinasambazwa na haohao wa idara nyeti Ili tuwaone wengi,mwisho wa siku tunabaki kua dull na complacent kwA lolote wafanyalo kwa kuhofia wingi wao au tuone "hakuna bora ya mwenzie /tuendelee na hawa hawa tu ,tutafanyeje sasa".
Hii ni Psy-Op 101.
Mkuu kuna hii kauli ya Ulipo tupo! Iko Simple tu.
 
Back
Top Bottom