Kwa uhakika kabisa huwezi kutenganisha siasa za upinzani na kitengo tena naomba wawe wengi zaidi upinzani ili usonge kwa uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Chadema iliweza kuhimili mikiki ya mwendazake haitakaa ife tena aisee...Hapo kinachotafutwa ni chadema... kukidhoofisha na hatimaye kukipoteza kabisa
Kitu ambacho hakitakaa kiwezekaneHapo kinachotafutwa ni chadema... kukidhoofisha na hatimaye kukipoteza kabisa
Mpinzani wa kweli alikuwa Marahemu.
Christopher Mtikila.
Hakuwahi kujipendekeza kwa Chama tawala, wala kulilia chai ya Ikulu.
RIP
Mkuu tatzo la hii nchi hata sisi ambao angalau tumeshika shika peni na karatasi kidogo,Kwa hiyo bowe ni jasusi, jasusi gani linapata suluba namna hii wakati majasusi yanafanya kazi zao smoothlly? Kama mbowe ni kachero basi kuna makachero mengi sana yamejikita kwenye vyama vya upinzani na dini, hata yule jamaa machachari wa uviko naye atakuwa jasusi tu
Ongeza nyamnyamShida ni kwamba kwakuwa babaake alikuwa ni "wale jamaa zetu" basi watu wanamuona Freeman nae ni wa kule, hapana jamani
Democratic PartyAlikuwa chama gani?
Democratic Party
D.P. na kilisajiriwa.
Ndio maana Chama Tawala Kitatawala milele kutokana na wapinzani wa aina hii.Mkuu tatzo la hii nchi hata sisi ambao angalau tumeshika shika peni na karatasi kidogo,
Hatutumi akili zetu kufkiria,tumewaacha watu wengne wafikirie kwa niaba yetu,
Tumekua tunaendeshwa na ushabiki na hili ndo litafanya ccm watawale milele,
Ukiangalia nchi hii vizuri huoni chama cha upinzani hata kimoja.
Wote ni wanamkakati wa serikali,
Haihitaji akili nyingi sana kujua bwana mbowe,zitto na mbatia wanafanya kazi za serikali nje ya serikali
SikumbukiKiliwahi kuwa na mbunge?
Mkuu haya mambo sijui kama watu hawayaoni,Ndio maana Chama Tawala Kitatawala milele kutokana na wapinzani wa aina hii.
Akina Mbowe, Mbatia, Zitto, Mrema, Marando nk.
Nchii hii ingekuwa na wapinzani wa kweli chama tawala kingeisha anguka kitambo tu.
Ona wakati ule wa upinzani wa chama cha TLP chini ya Mrema, hamasa ya wananchi ilikuaa kubwa sana.
Akina Mrema Marando walivyoona jinsi wananchi wanavyo hamasika na chama chao wakaamua kuvurugana makusudi kabisa, na kuisambaratisha TLP.
CUF Zanzibar ndio hao kila kukicha wako ikulu kwa mgongo wa kuteuliwa.
Ni kwamba Wapinzani wote ni Agents wa chama tawala.
Wananchi msikubali kufanya siasa hadi mkaumia, mwisho wa siku kiongozi wenu anateuliwa Ikulu au anaendelea kupokea Mshahara wa Ikulu.
Ni Makombo matupu mi sipotezi mda kuwapigania.
Lowassa ni jasusi lililobobea, kwa connections alizonazo Mbowe lazima analitambua hilo!! Lakini hilo halikumzuia Mbowe kumpa ugombea urais na kumkaribisha sebuleni kabisa mwa chama (kamati Kuu, tena alikuwa anakaa kwenye high table)!! Mambo mengine yapo wazi kabisa, ila wafuasi wake hawasikii wala hawaoni...Mkuu haya mambo sijui kama watu hawayaoni,
tumekua brainwashed hatuon hatuskii,miaka yote sie mbowe,maalim mara lipumba huku jamaa wanasonga t madarakani miaka inaenda..
Tunasafiri ndefu sana..
Hao ni Workmate na wanajuana na mbowe anajua alichokua anafanya fullstop.Lowassa ni jasusi lililobobea, kwa connections alizonazo Mbowe lazima analitambua hilo!! Lakini hilo halikumzuia Mbowe kumpa ugombea urais na kumkaribisha sebuleni kabisa mwa chama (kamati Kuu, tena alikuwa anakaa kwenye high table)!! Mambo mengine yapo wazi kabisa, ila wafuasi wake hawasikii wala hawaoni...
Ila. Alihongwa nyumba na ROSTAM[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Mtikila ndio alikuwa Mpinzani wa kweli.
Alifungua kesi mahakamani ya mgombea binafsi na akashinda.
Hakuwahi kwenda ikulu kunywa chai.
Hakuwahi kuhudhuria sherehe za Chama Tawala
Hakuwahi kuomba maridhiano na Chama Tawala
Huyo mwingine ni muigizaji tu, siku zote ambazo yuko rumande analipwa Per Day yake.
Tena nzuri tu.
Sio nyumba, alimkoppesha pesa kama mfanyabisahara na walikubaliana kulipana.Ila. Alihongwa nyumba na ROSTAM[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]