father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Hapo utaikoa ubora wa tofali.ila uwe na muda wa kusimamia hilo zoezi la ufyatuaji.ukiacha mafundi pekee yake wafyatue ila kama huna muda wa kusimamia ufyatuaji ni bora ukanunua.Habari waheshimiwa.
Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike.
So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua.
Naomba kujua kama yupo aliyefanya hii kitu matokeo yalikuaje.
Natanguliza shhkrani๐๐
Nimekupata mkuu.Hapo utaikoa ubora wa tofali.ila uwe na muda wa kusimamia hilo zoezi la ufyatuaji.ukiacha mafundi pekee yake wafyatue ila kama huna muda wa kusimamia ufyatuaji ni bora ukanunua.
Unajenga shule au Hotel,tofali 20,000 ni nyingi .kama ni zile tofali za cement siyo vile vya udogo
Ni tofali za kawaida sio vile vidogo mkuuHapo utaikoa ubora wa tofali.ila uwe na muda wa kusimamia hilo zoezi la ufyatuaji.ukiacha mafundi pekee yake wafyatue ila kama huna muda wa kusimamia ufyatuaji ni bora ukanunua.
Unajenga shule au Hotel,tofali 20,000 ni nyingi .kama ni zile tofali za cement siyo vile vya udogo
Wengi wananiambia hii kauli yako ila mie bahili kweli ๐nimepiga hesabu naona kuna vicent vinaokolewa vitanisaidia upande mwingineSijawahi fanya hivyo ila naamini utakachokikwepa ni sehemu ndogo sana labda kama upo vizuri zaidi mfukoni uamue kuongeza uimara wa tofali kwa kusimamia mwenyewe
Kumbe๐ Basi Fanya kilichochema machoni pakoWengi wananiambia hii kauli yako ila mie bahili kweli ๐nimepiga hesabu naona kuna vicent vinaokolewa vitanisaidia upande mwingine
Kumbe nini mrembo wangu@To yeye ?Kumbe๐ Basi Fanya kilichochema machoni pako
๐๐๐Kumbe nini mrembo wangu@To yeye ?
Ujio wako hapa umenipa tabasamu asubuhi hii๐
Ngoja nisikize na maoni ya wadau kwanza nikifatisha moyo wangu wa ubahili naweza haribu .Kumbe๐ Basi Fanya kilichochema machoni pako
Kama siokoi pesa bora ninunue tu niokoe muda wa kusimamiaTofali 20,000. Inatakiwa uwe na muda kweli madarasa kumi hayo. Ukisimamia utapata tofali bora ila hutaokoa pesa. Na kama utaokoa pesa basi ni kiasi kidogo.
๐๐น๐๐๐
SIKILIZA NIKUAMBIE KITU...amini nakwambia huwezi pata hili kirahisi...wafanya biashara wa tofali huweka ratio ndogo kwa idadi ya tofali ili wapate faida....wasipokupunja kwenye inches za tofali watakupunja kwenye uwiano wa cement na mchanga au ubora wa mchanga....Faida utakayoipataKama siokoi pesa bora ninunue tu niokoe muda wa kusimamia
Faida kubwa ni ubora wa tofali lakini pia kwa vile idadi ni kubwa ataokoa gharama kiasi, haya tunayonunua ukweli hamna kitu kabisa. Gharama ni maji, cement, umeme(kama atatumia machine za umeme) na makubaliano ya kufyatua.Una machine ya tofali?
Mchanga?
Cement za kutosha?
Umeme?
Maji yapo au ni ya kununua?
Mafundi unawalipaje?
Wabebaji je?
Ukijumlisha hizo gharama unakuta gharama inakuja pale pale bora ununue uokoe muda na gharama zako
Na kweli Kuna tofali unauziwa zinameguka kama biscuitFaida kubwa ni ubora wa tofali lakini pia kwa vile idadi ni kubwa ataokoa gharama kiasi, haya tunayonunua ukweli hamna kitu kabisa. Gharama ni maji, cement, umeme(kama atatumia machine za umeme) na makubaliano ya kufyatua.
Kinachotakiwa ni usimamizi tu, maana hata hao mafundi wanaweza kuficha mifuko na kuiuza. Wadosi wanaweza kuuza hata mifuko 100 na asijue, uaminifu imekuwa lulu miaka hii, tofali 20,000 ni project kubwa hiyo.Na kweli Kuna tofali unauziwa zinameguka kama biscuit