father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
- Thread starter
- #61
Asante kwa kunitia moyo mkuu.Utaokoa gharama kwa kiasi kikubwa, mashine unakodi Bei 5000 kwa siku. Maji unanunua kwa wenye magari makubwa makubwa, tofali 20000 kwa kununua Bei ya chini ni Kama 800 jumla milioni 16 Ila hautapata tofali Bora.
Maji ninayo nilichimba kisima.
Machine nitanunua.
Tofali naamini zitakua bora kama nitafuata ushauri wa wataalam.