Yes tofali 20000 kama Ana material ya kutosha bora afyatue mwenyewe na asimamie hapo hapoKinachotakiwa ni usimamizi tu, maana hata hao mafundi wanaweza kuficha mifuko na kuiuza. Wadosi wanaweza kuuza hata mifuko 100 na asijue, uaminifu imekuwa lulu miaka hii, tofali 20,000 ni project kubwa hiyo.
Asante kwa maelezo haya mkuu.SIKILIZA NIKUAMBIE KITU...amini nakwambia huwezi pata hili kirahisi...wafanya biashara wa tofali huweka ratio ndogo kwa idadi ya tofali ili wapate faida....wasipokupunja kwenye inches za tofali watakupunja kwenye uwiano wa cement na mchanga au ubora wa mchanga....Faida utakayoipata
1.kama unajua mambo ya ujenzi na ubora wa mchanga unaootaka kutumia ukisimamia kuupata huo umepata faida ya kwanza
2.tofali hizo ni nyingi sana kama una mda wa kusimamia na kufanya manunuzi mwenyewe unaweza kupata ile free delivery ya cement or discount
3.kama unaweza kusimamia vizuri tenga muda hasaa maana hutakuwa na mashine ya kuchanganya...usikubali mafundi wakuambie tunapiga mifuko kadhaa kwa siku..maana jinsi mda unavyokwenda ndivyo wanavyochoka kuchanganya kunauwezekano wa kulipua kazi na kupata tofali za hovyo kabisa(cha kufanya tafuta mafundi wengi wape wastani wa tofali kwa siku na baada ya siku tatu wape mapumziko waje wakiwa fresh tena na maji uwe nayo ya kutosha)
4.faida nyingine utajua vitu vingi kama una jicho la tatu la kujiongeza
5.kama hela ni ya kuungaunga ni njia nzuri ya kufanikisha kwa urahisi.
Machine nilitaka kukodesha ila nitanunua ili inifae wakati mwingine.Una machine ya tofali?
Mchanga?
Cement za kutosha?
Umeme?
Maji yapo au ni ya kununua?
Mafundi unawalipaje?
Wabebaji je?
Ukijumlisha hizo gharama unakuta gharama inakuja pale pale bora ununue uokoe muda na gharama zaka
Ni kweli mkuu.Kwa idadi hiyo ni kweli utaokoa gharama kubwa ya fedha, utapata ubora unaoutaka wa tofali. Mtaani watu wanafyatua hadi tofali 55-60 kwa mfuko mmoja. Ila wewe utaamua unatakaje, hata tofali 30 kwa mfuko, ni maamuzi yako na ubora unaotaka.
Hapo kama una machine na hizo materials nyingine basi umewin fyatua za kutosha ugawie hadi majirani ☺Machine nilitaka kukodesha ila nitanunua ili inifae wakati mwingine.
Mahitaji yote yapo na nina timu kubwa ya mafundi wazuri.
Asante kwa mchango wako mrembo😍
Hivi zile machine za kawaida si zinaweza kufaa tu?Faida kubwa ni ubora wa tofali lakini pia kwa vile idadi ni kubwa ataokoa gharama kiasi, haya tunayonunua ukweli hamna kitu kabisa. Gharama ni maji, cement, umeme(kama atatumia machine za umeme) na makubaliano ya kufyatua.
Ni majanga unaweza kusema ni mchanga mtupuNa kweli Kuna tofali unauziwa zinameguka kama biscuit
Hapo kwenye kuibiwa niko makini nawajua hawaambuliagi kitu.Kinachotakiwa ni usimamizi tu, maana hata hao mafundi wanaweza kuficha mifuko na kuiuza. Wadosi wanaweza kuuza hata mifuko 100 na asijue, uaminifu imekuwa lulu miaka hii, tofali 20,000 ni project kubwa hiyo.
Nunua mashine za umeme.Hivi zile machine za kawaida si zinaweza kufaa tu?
Vijana wa kufyatua wanalipwa kuanzia 5000 kwa mfuko
Wengi wananiambia hii kauli yako ila mie bahili kweli [emoji16]nimepiga hesabu naona kuna vicent vinaokolewa vitanisaidia upande mwingine
Itakua hivyo.Hapo kama una machine na hizo materials nyingine basi umewin fyatua za kutosha ugawie hadi majirani ☺
Onhooo ila tofali zinatumika sehemu nyingiItakua hivyo.
Zikibaki bora nikuite uje wewe ubebe 😁 nikigawia majiran nitazid kujiponza coz hapa tu washaanza kunijia na maombi niwaletee usafiri na kuwakwangulia barabara na sijui kwanin wanahis nina uwezo huo maskin ya Mungu ila InshAllah one day yes Mungu ni wetu sote
Nauliza sbb uhalisia unaweza kuwa tofauti.Wewe umepiga hesabu umeona kabisa unaona 40% unaokoa sasa unauliza nn
Nimekupata mkuu🙏Huwez okoa sehemu ndogo utaokoa sehemu kubwa sanaa Mana ingekua ndogo watu wasingekua wanauza tofari
KabisaOnhooo ila tofali zinatumika sehemu nyingi
Yakibaki utajengea kisima, ukuta mnara wa kuweka simtank n.k
Ila hata mimi nitayapokea kwa mikono miwili 😊
Asante kwa mchanganuo mkuu.Ikiwa uko Dar. Tofali za inch 5 bei ni 1,100/=
UKINUNUA
Tofali inch 5 pc 20,000 @1,100 = 22,000,000/=
UKIFYATUA MWENYEWE
Kwa tofali 20,000 za inch 5 ratio ya 35 utahitaji mifuko 600 ya cement, mfuko mmoja ni 18,000
●600×18,000: 10,800,000
●Vibrator na mixer: 6,000,000/=
●Mafundi mifuko 600 @4000: 2,400,000/=
Hadi hapo tayari 19,200,000/=
Sijapiga hesabu ya mchanga, umeme, maji, vibao vya kufyatulia tofali, wapanga tofali (nguzo)
Kwa kifupi hamna utakachookoa.
Iko hivi wengi wanaamua kupiga tofali zao ili wapate ile ratio bora kabisa wanayoitaka kama ni hivyo fyatua mwenyewe. Ila kama ni hizi ratio za kawaida za viwanda vya tofali bora ukanunue
mchanga bora ni ule usio na vumbi jingi au hauna vumbi la udongo kabisa unapatikana mtoni au kwenye vijito au clashing dust za kokoto ni bora sana kama utazipata kwa tofali ..mchanga bora kwa tofali ni ule wenye punje kubwa na uwe una dust kidogo upatikane mtoni sehemu ambazo hazina chumvi au magadi...huo ndio mchanga bora kwa tofali...Asante kwa maelezo haya mkuu.
Kusema ukweli nina uzoefu wa kujenga ila sijawahi kuwaza kuhusu ubora wa mchanga.Huwa naagiza tu gari fundi anajengea au kama tuko levo ya kupiga plasta fundi huwa anasema nikiagize niwaambie walete wa plasta.I gues nimekua nafanya mambo kienyeji.
Kwa hiyo mkuu mchanga bora ni upi?
Maji sio tatizo yapo uhakika na ninaamin nina jicho la tatu mpaka project iishe nitakua nimejifunza mengi mkuu.
Kwa faida ulizoainisha nashawishika kufyatua mwenyewe.
Tofali imeshafika elfu 20 boss labda kama atanunua kiwandani moja kwa mojaIkiwa uko Dar. Tofali za inch 5 bei ni 1,100/=
UKINUNUA
Tofali inch 5 pc 20,000 @1,100 = 22,000,000/=
UKIFYATUA MWENYEWE
Kwa tofali 20,000 za inch 5 ratio ya 35 utahitaji mifuko 600 ya cement, mfuko mmoja ni 18,000
●600×18,000: 10,800,000
●Vibrator na mixer: 6,000,000/=
●Mafundi mifuko 600 @4000: 2,400,000/=
Hadi hapo tayari 19,200,000/=
Sijapiga hesabu ya mchanga, umeme, maji, vibao vya kufyatulia tofali, wapanga tofali (nguzo)
Kwa kifupi hamna utakachookoa.
Iko hivi wengi wanaamua kupiga tofali zao ili wapate ile ratio bora kabisa wanayoitaka kama ni hivyo fyatua mwenyewe. Ila kama ni hizi ratio za kawaida za viwanda vya tofali bora ukanunue