Nami nilitaka kukuambia uende manual, ukisema ununue mixer+vibrator gharama iko pale pale, utaokoa ratio tu. Kwa ratio ya 35, hata ukienda manual bado tofali zitakuwa imara tu coz utazimwagia maji ya kutosha.Asante kwa mchanganuo mkuu.
Nilipo cement ni 16,000
Tofali ni 900 na usafiri inakua 1000.
Ratio ya tofali 40 kwa mfuko nadhani sio mbaya.
Sitatumia mixer na vibrator.Tutaenda manual.
Vijana huku wanalipwa hadi 4000 kwa mfuko kwa kazi kubwa
Habari waheshimiwa.
Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike.
So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua.
Naomba kujua kama yupo aliyefanya hii kitu matokeo yalikuaje.
Natanguliza shhkrani🙏🙏
Sawa, karibu mkuuAsante kwa mchanganuo mkuu.
Nilipo cement ni 16,000
Tofali ni 900 na usafiri inakua 1000.
Ratio ya tofali 40 kwa mfuko nadhani sio mbaya.
Sitatumia mixer na vibrator.Tutaenda manual.
Mkuu Soma pm basi au mpaka nikubembeleze 😏Nami nilitaka kukuambia uende manual, ukisema ununue mixer+vibrator gharama iko pale pale, utaokoa ratio tu. Kwa ratio ya 35, hata ukienda manual bado tofali zitakuwa imara tu coz utazimwagia maji ya kutosha.
Hakuna text yoyote kwa pm yangu, rudia kutuma tena please!!Mkuu Soma pm basi au mpaka nikubembeleze 😏
BasiiiHakuna text yoyote kwa pm yangu, rudia kutuma tena please!!
Acha hizo bwana, rudia kutuma.Basiii
Nilichokuwa nakuuliza nmeshapata majibuAcha hizo bwana, rudia kutuma.
Okay madam!Nilichokuwa nakuuliza nmeshapata majibu
Asante sana mkuu kwa darasa hakika umeongeza uelewa wangu.mchanga bora ni ule usio na vumbi jingi au hauna vumbi la udongo kabisa unapatikana mtoni au kwenye vijito au clashing dust za kokoto ni bora sana kama utazipata kwa tofali ..mchanga bora kwa tofali ni ule wenye punje kubwa na uwe una dust kidogo upatikane mtoni sehemu ambazo hazina chumvi au magadi...huo ndio mchanga bora kwa tofali...
mchanga bora kwa plasta uwe laini au punje ndogo usiwe na vumbi la udongo kabisa kama ni wakuchimbwa uchimbwe kwenye ardhi isiyo na asili ya chumvi ama magadi...ni hayo tu wataongeza wengine...wajenzi ama wajuvi....
SikweliUna machine ya tofali?
Mchanga?
Cement za kutosha?
Umeme?
Maji yapo au ni ya kununua?
Mafundi unawalipaje?
Wabebaji je?
Ukijumlisha hizo gharama unakuta gharama inakuja pale pale bora ununue uokoe muda na gharama zako
Kabisa mkuu.Nami nilitaka kukuambia uende manual, ukisema ununue mixer+vibrator gharama iko pale pale, utaokoa ratio tu. Kwa ratio ya 35, hata ukienda manual bado tofali zitakuwa imara tu coz utazimwagia maji ya kutosha.
Asante kwa ushauri mkuu.Habari!
Hapa vitu vingi vinategemeana/sehemu ulipo.
1: Je ubora wa tofali unazopata haulingani na ubora wa mradi wako?
Hili utaweza kulitatua kwa kusimamia wewe binafsi kwa ukaribu uliotukuka.
2: Unahitaji kuokoa pesa
Tafakari juu ya sehemu ulipo:
A: Gharama ya upatikanaji wa mafundi bora kwenye ufyatuaji.
B: Gharama ya upatikanaji wa mashine ya kufyatua au cha kufanana nacho.
C: Gharama ya maji
D: Gharama ya mchanga
E: Gharama ya cement ununuzi na kufikisha site/kama unaweza kupata kwa bei ya jumla pia
F: Gharama ya umeme/ukitumika.
G: Gharama ya wewe kufika eneo la tukio kama si sehemu unayoishi.
H: Gharama ya mlo wako kwa siku kama si nyumbani na itaongezeka kutoka kwenye ule wa kila siku.
I: Thamani ya uwepo wako muda wote/reflect kwenye pesa utakayoiokoa.
3: Tofali iliyotayari:
A: Ubora
B: Ununuzi +kupakia +kushusha+ usafiri
Jibu la mwisho ni: 3 - (1+2)
Nimekupata mtaalam.Sawa, karibu mkuu
Kwa ushauri tu:
Ratio ya 40 sio mbaya ila inatoa tofali la kawaida sana lisilo imara kivile hata maengineer huwa hawayakubali
Mashine ya bam bam (ya mkono) haitoi tofali nzuri kwa sababu mshindilio wake ni mdogo tofauti na ya umeme. Tena ukizingatia umepanga kutoa ratio ya 40!
Na utatumia mchanga gani?
Wako sahihiAsante kwa ushauri mkuu.
Jana nimeongea na mafundi wakubwa wawili juu ya ya wazo langu majibu yao yanaonesha iwapo nitasimamia vizuri kuepusha mafundi kufanya uchakachuzi nitaokoa fedha na kupata tofali imara kulinganisha na za kununua
Hata simenti utapata kwa Bei ya jumlaNimekupata mtaalam.
Kwa vile uwezo wangu kiuchumi ni mdogo itabidi tu nitumie hiyo ya mkono halafu iwe 35 blocks kwa mfuko kama mlivyoshauri.
Mchanga nitanunua kwa kufuata maelezo ya mkuu shanature hapo juu.
Au wewe ulikua unashaurije mkuu?
nKuna muda wa usimamizi, vitendea kazi vya kufyatua,kulipa mafundi, maji, mchanga, simenti, usumbufu na mafundi, kutokumaliza kwa wakati n.k