Je, ni kweli hii inapunguza gharama za ujenzi?

Utaokoa gharama kwa kiasi kikubwa, mashine unakodi Bei 5000 kwa siku. Maji unanunua kwa wenye magari makubwa makubwa, tofali 20000 kwa kununua Bei ya chini ni Kama 800 jumla milioni 16 Ila hautapata tofali Bora.
Asante kwa kunitia moyo mkuu.

Maji ninayo nilichimba kisima.
Machine nitanunua.

Tofali naamini zitakua bora kama nitafuata ushauri wa wataalam.
 
Vibrator na mixer inabaki kuwa mali yake. Kihasibu gharama za hizi assest haziingizwi kama zilivyo.
 
Kwa kuongezea, fyatua "Hollow Block", uta save sana. Zaidi ya hiyo 40%.
 
Kwa kuongezea, fyatua "Hollow Block", uta save sana. Zaidi ya hiyo 40%.
View attachment 2880430
"Hole block " inaweza kuwa imara au dhaifu kutegemea na technology iliyolizalisha, wakati inajengwa tofari hili ukiamua kujenga kitaalam kabisa, huko katikat huwa inapitishwa nondo ili kutengeneza uimarra,lakini NAMI nasema unaweza pia weka muhanzi(bamboo tree kwani unasifa Bora kuliko nondo) , kwa mantiki hiyo kama solid block na hole block utajenga kwa kufuata utaratib uliobora, hole block

inabana matumiz, ya cement,mchanga, pia inapunguza uharibifu wa mazingira.(Prof Rein, Upsala university -Sweden). kwakuwa DUNIA inapambana na namna itapunguza hewa ya ukaa, huko mbeleni Tofar la cement litapotea, TUTARUD kwenye bricks, zile za udongo,au jivu.
Lakini pia tofari linapimwa.kwa mgandamizo kwa milimita za mraba, hivyo Bora hole block kuliko solid. Na bei lazima iwe chini kwani kama 50kg za cement zitaweza kuzalisha tofar za solidi 20, basi hole zaweza kuwa 25. Hivyo na bei itashuka.
 

Acha unahili,itakuja kuvunja nyumba Au kugombana na mafundi buree
 
Mfuko moja wa cement Kwa mifuko mitatu ya mchanga
 
Hapa kuna gharama zinazo Baki ya hizo machine 6millioni
 
Je upatikanaji wa bamboo kwetu Bongo upoje na umbali wa kuweka bamboo au nondo upoje.
Na kwa nini matofali haya hayatumiki Sana bongo. Tukaona kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…