Yes, we are humans by da way... Should I stuck there? Absolutely no, let da by gones be by gonesHili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
Pamoja sana kiongozi.Ha! sio swali la kuuliza hili,nimemsaliti mara nyingi sana kwa kweli.
Santeeee,na hivi ndivyo inavyotakiwa.Ina mana hujanielewa hakuna cha peke yako aiseee unatusua na wenzio wanatusua pia wewe una hati miliki tu ya kuitisha mzigo saa na dakika unayotaka lakini ukilegeza vipembeni watachapa kama kawa; wewe hakikisha tu mzigo unausulubu mpaka kila akikaa unatangulia kwenye kiti hatakuwa na mudi wa kuitoa pembeni.
Bora ulivyomwambia wewe anaweza akakuelewa.Changia mada
Thats great,we shouldn't stuck kwa mtu mmoja tu.Yes, we are humans by da way... Should I stuck there? Absolutely no, let da by gones be by gones
Umeona eh!mtoto wa kike anakuja kukulia eti ana miezi mitatu hajagongwa na mimi ni mume wa mtu,lazima nimuonee huruma na kwenda kumla raha.Hakuna dhambi hapo nakuwa nimemsaidia.
Nalog off
Mi nimeona hapa tu,vipi swali hapo juu unaweza kulijibuje?Aiseee!!!
Sounds like chitchat!
Pole sana.Kwa kuwa katika hali hiyo.I have never and haven't thought of it. Wengine tuko too emotional kufanya ivo
kwenda huko.......
upoo?......
Hili ni swali ambalo nadhani tulio wengi humu ndani tukiamua kusema ukweli kwa namna moja ama nyengine tumeshawahi kuwasaliti wenzetu.
Je? wewe umeshawahi kumsaliti mwenzako na ni kipi kilichokupeleka kufanya hivyo.
Nalog off
Santeee na hiyo ndio maana yake kiongozi kwanini iwe ya mmoja tu wakati wako wengi?niliwahi na inawezekana nikaendelea tu kwani yangu sio ufunguo kusema imechongwa kwa ajili ya tundu la kufuli moja. Nieleweke hivyo.
eh bhana eh! kweli unakosa mengi unagonga hapo hapo tu.huwezi kuami lakini ndio ukweli nimeanza kuishi na mke wangu 2003 nikabakwa na rafiki yake 2004 toka hapo sikuwahi kumsaliti maana yake miaka 10 ya ndoa yangu nimemjua mwanamke mmoja tu
dah! ila hawachelewi kukuimbia *BABU JINGA INAMA UFIKIRI MALI YAKO INALIWA*Ningefurahi san ningeambiwa mi mshamba wa mapenz maana ye kama much know mbona uhusiano haudumu? ktk mapenz bora ujifanye mjinga utaishi bila stress
ni kweli kabisa kamanda nakubaliana nawe.Siwezi kujisifu kwa hili,ni kweli nimemkosea mwezi wangu, Mwenyezi MUNGU atusamehe kwa yote,mwili ni dhaifu lakini roho i radhi.