Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

Mimi natumia ID ya kweli..Nina miaka nane katika NDOA.. Sijawahi wala sina wazo la kutembea nje ya ndoa yangu. ...Pamoja na channgamoto ninazopata kutoka upande mwingine wa shilingi... Mbarikiwe sana..!
 
Umeonaee! Usaliti wa mapenzi au pesa maana nowdays tunasalitiana kwenye mali na si mapenzi (ufoo type )
 
Mimi natumia ID ya kweli..Nina miaka nane katika NDOA.. Sijawahi wala sina wazo la kutembea nje ya ndoa yangu. ...Pamoja na channgamoto ninazopata kutoka upande mwingine wa shilingi... Mbarikiwe sana..!
amin.
Hongera yako mkuu unastahili pongezi,nakuchagulia wimbo huu na nakutakia mapambano mema katika hilo.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi ila nakabiliana na changamoto za upande wa pili!
hongera yako na kwa kuwa umeweza kumshinda mpinzani wako,basi bila kinyongo nakuchagulia huu wimbo wa kukupongeza.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Utaweza mikiki ya ufumaniz lkn? Mana mi ntabaki ku2mbua macho2 balaa likianza
katika fumanizi zote zilizonikuta niliweza kumtuliza mwenye mke na kuondoka bila hata ya kupigwa singi,mimi huwa natembea na bunduki na ukileta masihara huwa sikopeshi.
Nalog off
 
"Cool Down" Lucky Dube​
They've been married
For seventeen years
But u can see
She don't trust him at all
And you can see she don't believe that he is not cheating
You can't blame a poor girl
He's been a busy man all his life, just like the rest of us
One day she caught him with another girl
He said it was his mother
She caught with another one
He said it was his sister
He's in deep water again
I don't know what he gonna say today but I won't be surprise
if he gets out of this one like the other ones
'Cause I know he's the Houdini
Of cheaters, hear him now when he says

[Chorus:]
Cool down baby everything is under control
It doesn't matter where I get my appetite
I will always eat at home [x2]
Ooooooooooh, ooooooooooooooooh

They've been married for seventeen years
But you can see
He don't trust her at all
And you can see he don't believe
She's not cheating
You can't blame a poor man
She's been a busy girl
All her life-jus like the rest of us
One day he caught her with another man
She said it was her father
He caughther with another one
She said it was her brother
I believe that it is true
Birds of a feather fly together
She has learned from master
I wasn't surprise at all
When I heard her say-ey

[Chorus]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…